Baada ya Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere anayefuatia kwa uongozi bora ni Rais Magufuli

zanzbar kwenyewe wana hoja? waende tu kwenye uchaguzi watandikwe siyo wizi wa kijinga ambao SEIF alikuwa anataka kuingia nao Ikulu

Tata madiba huo ni wimbo wasiopenda kuimbiwa.......yan kunya anye kuku akinyabata tu.......kaharisha........kwao mwiz ni ccm tu wao wakali kamavile wanahaki ya kuiba.....pls wawe wakweli na waache kuwadanganya wananchi ambao hawaelewi kitu.......
 
Nikweli UKAWA ndo mwarubaini wenyewe hebu ona mwenyewe jinsi gani CCM wanavyokula matapishi yao (1)SHULE BURE wakauliza mtapata wapi fedha wakaonye njia moja wapo nikubani MATUMIZI (2)FUTA SAFARI ZA NJE na fanyike zile zenye tija tu kwa nchi (3)kufanya mapitio upya sheria zenye mianya ya rushwa kama alivyose RAIS JPM kwenye hotuba yake mfano sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 na regulations za mwaka 2013, yapo mengi tu wanatakiwa kuyafanya kwa kupitia ILANI ya UKAWA kama wakiendelea hivi kuchukua mazuri
 
Wewe ni mjinga sana tena zaidi! Hivi kwa akili yako hujui ni kwanini CCM wanataka uchaguzi urudiwe Zanzibar au unajitoa ufahamu tu! Tangu lini CCM wakaibiwa kura? Utakua na matatizo ya akili wewe.

Mkuu nenda pembq ukqshangae ya filauni.
 
Sasa ni dhahiri UKAWA watabaki na hoja moja tu ya Uchaguzi Zanzibar. Ni baada ya Magufuli kudhihirisha kuwa anazitambua na ana uwezo wa kushughulikia kero za Watanzania zilizokuwa zikiwapa fursa UKAWA kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wao ndo mwarobaini na kuwa ndo wenye uwezo wa kutatua kero zilizopo.

Kama kweli kitendawili cha Zanzibar ndo kero kubwa kwa Watanzania, basi UKAWA watadumu, vinginevyo wajiandae kujizika rasmi 2020.:A S-fire1:

Kama kuna jambo gumu katika utawala wa MAgufuri basi ni hili la Zanzibar na Katiba pendekezwa! Hicho ndicho kipimo chake cha uzalendo anaouimba!!
 
Kumbe unajua upinzani lengo lao ni kukabiliana na kero za wananchi,tuishie hapo!
 
Inaonekana una matatizo ya matumizi ya maneno ya kiswahili, hujui kutofautisha matumizi ya neno "Badala" na "baada" hicho kichwa cha habari ulichokiandika kina maana tofauti na hoja husika.
Nimeweka makusudi kutumia neno Badala au mbadala nina maana yangu ya kipekee. Baada ya Mwalim Nyerer Rais alikuwa ni Sheikh Alhajj Hassan Mwinyi. Sasa wewe ulitaka niwataje Ma Rais wote waliokuwa uongozini? nimesemahivyo kwa maana yangu sikutaka nimtaje kila Raismazuriyake na mabaya yake nimesema Mtu anawezakumfikia Mwalim nyerer katika Ma Rais waliopita ni Mheshimiwa Rais J.P. Magufuli.Ninafikiri utanielewa kwanini nimetumia badala na kwa sababu gani sikutumia baada kazi kwako mkuu nkanaRedi Hata kwenye mpira wanatumia neno la kubadilisha mchezaji sasa kam nimchezaji mzuri hapo Tanzania baadala ya Baba wa Taifaunaweza kumuingiza Mheshimiwa Rais Magufuli ndio anawezakuchukuwa nafasi ya Baba wa taifa umenipata Mkuu? Kiswahili kipana na kirefu soma tena shule.
 
Sasa ni dhahiri UKAWA watabaki na hoja moja tu ya Uchaguzi Zanzibar. Ni baada ya Magufuli kudhihirisha kuwa anazitambua na ana uwezo wa kushughulikia kero za Watanzania zilizokuwa zikiwapa fursa UKAWA kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wao ndo mwarobaini na kuwa ndo wenye uwezo wa kutatua kero zilizopo.

Kama kweli kitendawili cha Zanzibar ndo kero kubwa kwa Watanzania, basi UKAWA watadumu, vinginevyo wajiandae kujizika rasmi 2020.:A S-fire1:

UKAWA ndio mwarobaini wenyewe kwa sababu ndio wanaowafanya CCM chama tawala wahangaike kutafuta mtu bora na siyo kwamba wanamtafuta mtu bora eti kwa sababu wanauchungu na nchi bali wanalazimika kutafuta mtu bora ili kujihami wasije wakaangushwa na UKAWA.

UKAWA hawa wanao walazimisha chama tawala kutafuta mtu bora bila ya kupenda kwa kuogopa tu kivuli cha UKAWA siku wakipewa nchi si ndiyo wataikimbiza nchi kimaendeleo kwa speed siyo na kipimo?.
 
CCM imejaa matobo mengi sana kama nyavu ya kuvulia samaki hakuna cha Magufuli wala cha CCM nani anayeweza kuyaziba matobo yote,UKAWA wataendelea kupiga chenga na kitu kitaendelea kutinga kwenye nyavu kama kawa.
 
SH 250 MILIONI ZA SHEREHE YA WABUNGE KUNUNUA VITANDA VYA WAGONJWA MUHIMBILI

Wabunge nawaomba mniwie radhi mnafanya sherehe tofauti na mlivyozoea mnakunywa maji,

mnakunywa juice, wala hamna bia wala wine mlizozoea najua mlichanga pesa zenu zaidi ya Sh 265

milioni lakini mimi ndiye niliyezizuia.

Nimesema mtumie Sh 15 milioni kwa ajili ya kupongezana zilizobaki 250 ziende zikanunue vitanda

Muhimbili kwa ajili ya wagonjwa wanaolala chini amesema Rais Magufuli.



12227119_10153722975954339_813190429412394185_n.jpg


Huyu ndie anayefaa Kuitwa Rais Wa Tanzania waliopita walikuwa ni viongozi wa nchi sio Ma-Rais. Rais

anatakiwa aseme kwa maneno na vitendo vifanyike sio Rais aseme tu halafu hakuna vitendo vyovyote vinaonyesha

kuwa Rais amesema. Hongera Rais Wetu Mheshimiwa J.P.Magufuli Mwenyeezi Mungu akulinde na Maaduwi

zako amin. Bravo Rais Magufuli...........Hongera Sana.





Waliopita wala hawafai kuitwa marais, wale ni wezi na inabidi wachukuliwe hatua ya kunyongwa. Rais anakimbia nchi yake kutwa kutaliii na matatizo ya wananchi wake hayatambui?
 
Unachokosea mleta mada ni kwamba, hao UKAWA unaowabeza leo ndio waliotuonyesha watanzania madudu yaliokuwa yakifanywa na chama tawala. Leo hii tumepata rais aliyedhamiria kutatua kero za nchi nami nasema tumuombee na tumpongeze kwahilo na si kuwabeza ukawa maana bila ya wao tusingejua mengi..
 
rais wetu ameanza kazi kwa mkwara mkubwa sana unaoshahili pongezi ingawa marais wengi huanza kwa mikwara lakini huyu mkwara wake umeleta tija kwani kwa mda aliokaa madarakani ambao ni chini ya mwezi mmoja ameshaokoa zaidi ya shs bilion moja zilizokua zimepangwa kufanya mambo ya kipuuzi iwapo akiendelea na kasi hii basi tanzani si mda mrefu itaingia g 20
 
Mbona bado sana? Mnapaparika kusifia mtu eti ni kiongozi bora kanla hata hajateua baraza? Kwa nini tusisubiri hata miezi michache tuone? Mbona Kikwete aliingia na Mikwara hii hii? Kikwete aliitwa maneno km "tumaini lililorejea" "Chaguo la Mungu" na Nyerere mpya! Mkapa hivyo hivyo. Lakini waliishia wapi? Mnampa mtu difa za uongo mpaka anaharibu! Tumpeni muda tuone atatekelezaje ahadi zake. Hapo ndio tunaweza kumtadhmini!
 
Hata Kikwete alifagiliwa hivi hivi lakini baadaye akathibitisha utawala wake haukuvutia wengi. Kama alivyokuwa Kikwete (alikuwa chaguo la MUNGU) ndivyo inavyodaiwa na Magufuli pia. Kama Kikwete alivyokuwa Rais aliyetengenezwa na magazeti, ndivyo ilivyo na kwa Magufuli. Kila siku, ni sifa, sifa, sifa.... subirini. Ataonekana mtendaji mahiri pale atakapoimarisha taasisi, mfumo, lakini peke yake hatafanikiwa.
 
SINA SHIDA NA UTENDAJI WA MAGUFULI, Tatizo watanzania ni wepesi mno kushabikia kunakopita mipaka na ukweli, ni vizuri kusifu pale inapobidi kusifu ila kulinganisha miaka 30 ya waliopita kwa mwezi mmoja tu sio kabisa!!!

Tumpe muda na kumsupoti ili tuone mabadiliko then ndio tuanze kuimba mapambio yanatugusa na ya kweli.

Kubana matumizi ni vizuri ILA sio njia pekee ya kupiga hatua kwa taifa hili...pia tunaposimamia maadili na utendaji hekima. maadili na sheria zifuatwe maana tunaweza tukawa na nia nzuri na za maendeleo ila kwa maamuzi ya haraka ikatupelekea kuvunja maadili badala ya kusimamia maadili.

Tumpe support Rais wetu, hakuna mabadiliko ya kweli kama hatutashiriki sote kwa pamoja ktk kuyatafuta. Let us change our mindset, let us value public properties, do our duties effectively, and stop thinking MADILI na easy CASH.
Umeeleza vizuri sana..ila pia Rais anatakiwa aangalie pia watanzania wazembe hapa namaanisha wote kwa ujumla wake . Kuna watu vijijini wana nguvu lakini hata kuzalima chakula cha kulisha tu familia yake hawawezi...asubuhi saa mbili yupo kilabuni kunywa mataputapu, kunywa kahawa vijiweni na kusogoa, na ndo wa kwanza kulalamika serikali haiwajali...inabidi fimbo ya Magufuli iende kwa watu kama hawa pia. Kila kaya iwe na hekari kadhaa za mazao ya chakula na biashara...KILA MTU INABIDI AONJE JOTO HILI...nchi itanyooka!!
 
baada ya kuona mikeke naanza kuamini huenda Rais Magufuli si nguvu za soda Mwanzoni JP alikuwa anamsifia sana jk mpaka nikamini magu ni kivuli cha Jk lakin Siku hizi mambo yamebadilika anamchana Jk live tena hadharani
WELL DONE RAIS MAGUFULI
leo kaanika fedha zilizotumika safari za Jk
 
Na pia km kweli anadhamira ya kubana matumizi aondoe mashangingi serikaluni la sivyo ni yaleyale tu!
 
Back
Top Bottom