Baada ya A Boy From Tandale sasa ni Sound From Africa kuwa a decade album, kudos kwa Rayvanny na WCB crew

Hiyo album imepata streamers wengi kwa sababu ya influence ya rayvanny na WCB kwa ujumla kwenye digital platforms lkn nyimbo zilizomo na content kwa ujumla ni za kawaida sanaaaaa haijanishtua kabisa
 
Hiyo album imepata streamers wengi kwa sababu ya influence ya rayvanny na WCB kwa ujumla kwenye digital platforms lkn nyimbo zilizomo na content kwa ujumla ni za kawaida sanaaaaa haijanishtua kabisa
Endelea kukaza fuvu, always number don't lie
 
Hiyo album imepata streamers wengi kwa sababu ya influence ya rayvanny na WCB kwa ujumla kwenye digital platforms lkn nyimbo zilizomo na content kwa ujumla ni za kawaida sanaaaaa haijanishtua kabisa
Album kali sana ina unyama mwingi mno kama ni mpenda baiduda uwezi ielewa.
Ina lenga zaidi kizazi fulani cha wapenda maukali.

Kuna dude kama twerk hatari sana au baby kaimba na rowlene yani noma sana watu wenu kama marioo hawawezi fanya ule mziki.
 
none sense
 
Simple tu ivyo 🔻🔻
Habarini wanajamvi:
Hakika kwa mafanikio ya hii album ya RAYVANNY-SOUND FROM AFRICA na diliki kusema kuwa GRAMMY AWARD huu mwaka RAYVANNY atabeba kiuraini na pia kuchukua MTV MAMA Kama listener choice awards, maana ni ya Moto balaa.

Nimeona na kusikitishwa sana na baadhi ya wadau ambao hawajui mziki na album inatakiwa kuwaje wakiwa na makasirikk moyoni mwao ila ukweli SOUND FROM AFRICA umekuja kuwaonyesha radha halisi ya kiafrika na Tanzania kwa ujumla.

Kwa miaka kumi Mimi Kama mwenyekiti wa celebrity's forum naipa mitano Tena na kutangaza kuwa ALBUM BORA YA MIONGO KUMI(10 years) na ikiwezekana utakuja kuwa ya Karne au tangu Bongo fleva ianzishwe kwa hapa Tanzania.

AFROEAST NA SLAVE BECOME A KING zimejitahidi sana ila mpaka now Naona chaliii yaani hazina mvuto hata kidogo kuanzia kwenye mauzo mpaka mtaani yaani SOUND FROMA AFRICA ni habari ya Moto sana

mfano:kwenye mauzo SOUND FROM AFRICA Ina total streams 130m in two weeks, AFROEAST 60 in one year, SLAVE BECOME A KING 10 in one month ,ko unaona kabisa SOUND FROM AFRICA haishikiki.

UKWELI LAZIMA USEMWE::: RAYVANNY na album yake ya SOUND FROM AFRICA anatakiwa apewe CROWN amabayo alikuwa anaishikilia DIAMOND PLATINUM the G. O. A. T kwa MIONGO kadhaaa.

KAMA KAMATI YA CEREBRITY FORUM TUNASEMA ALBUM YA RAYVANNY NDO ALBUM KALI TANZANIA KUSHUNDA ZOTE .

SOUND FROM AFRICA it's a real SOUND FROM AFRICA the best ALBUM ever Ina TANZANIA, EAST AFRICA AND AFRICA as a WHOLE hope GRAMMY tunapata.
 
Wabongo wengi wanao
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
 
Back
Top Bottom