namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 738
- Thread starter
- #21
Mamlaka zichukue hatua. Wasilee hizi noise pollution zinazozagaa ovyo ovyo!!!!Hata sasa wapo wanapiga, hawa jamaa huwa wanafungulia mziki sijui wanaenda kulala, si weekend si weekdays, hadi saa tisa kumi usiku bado ni kelele tu.
Viongozi wamefumbia macho.
Shuhuda huyu hapa, kuwa sasa hivi jamaa wanaporomosha sebene za nguvu na full muziki fujo.
Sent using Jamii Forums mobile app