Kweli kaka 40 40 imekufa mwaka na nusu sasa...40 40 ilishakufa mkuu ila tabata kwa baa na bata haina mpinzani wamekosa bahari tu
Kweli kaka 40 40 imekufa mwaka na nusu sasa...40 40 ilishakufa mkuu ila tabata kwa baa na bata haina mpinzani wamekosa bahari tu
TayariNext Episode ni Kigamboni
Tunasubiria Lami ipigwe kote mpaka (Mwasonga_kimbiji mwisho_buyuni)
Natabiria Kigamboni ndo itakuja ku take over
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu, lami imeshia pale Avic townTayari