Baa za Tabata kwa misosi bado sana

Baa za Tabata kwa misosi bado sana

Kaka njoo bar moja tegeta inaitwa KB BAR OPPOSITE NA KIBO COMPLEX utaenjoo watoto, msosi na mziki mzito ukiongzwa na DJ chikawe. Karibu sana tukitoka hapo nakupeleka sehemu moja inaitwa Fyatanga maeneo ya boko ukale mbuzi choma hatari .
Maeneo ya Mwenge, kinondoni kwenda huko Bunju ni mwenyeji kidogo. Fyatanga napafaham sana toka longi sana. Pale mbuzi choma sio mchezo.

KB napafaham ila sijawahi kula hapo mkuu kwa kusema ukweli. Ntajitahidi jumamosi hii ntakula hapo msosi kwa ushauri wako ingawa nilishakata tamaa kula maeneo hayo.

Shukran mkuu.
 
Sisi wa mikoani tukija Dar asilimia kubwa ya misosi tunayokula tunajaza tumbo tu....
 
Ahsante mkuu kwa kunidokeza. Mgahawa huo uko sehemu gani Tabata? Ni ule uko njiani pale maeneo ya Bima?
Achana na huo, kuna mgahawa mwingine wa haohao Wallet uko pale ukipita Kwetu pazuri mbele mkono wa kulia kuna tawi la Yanga.

Nimepiga hapo leo ugari dona na Tasi wa kukaanga kisha kaungwa kwa nazi ni hatare.

Unaiona thamani ya pesa yako kabisa.
 
Ahsante mkuu.

Wikendi hii nitazuru hayo maeneo nijiridhishe zaidi. Mimi starehe yangu ni misosi mizuri mizuri tu. Mtungi nimewaaachie nyie kiongozi.
 
Ahsante mkuu.

Wikendi hii nitazuru hayo maeneo nijiridhishe zaidi. Mimi starehe yangu ni misosi mizuri mizuri tu. Mtungi nimewaaachie nyie kiongozi.
Ukiniuliza hobbies zangu ni zipi kula vizuri haiwezi kukosekana.

Yani pesa sina hata afya nzuri na ngozi inayong'aa pia vinishinde? Hapana kwakweli.
 
Achana na huo, kuna mgahawa mwingine wa haohao Wallet uko pale ukipita Kwetu pazuri mbele mkono wa kulia kuna tawi la Yanga.

Nimepiga hapo leo ugari dona na Tasi wa kukaanga kisha kaungwa kwa nazi ni hatare.

Unaiona thamani ya pesa yako kabisa.
Mmoja upo Tabata Shule na mwingine upo kule Segerea kituo cha Sanene kwa mbele kama mdau alivyosema upande wa kulia.
Ama kuhusu mada ya andiko la mjadala,mimi naishi Tabata,kwa bata Tabata iko poa kwenye bar zake nyingi, na msosi uko poa. Hata hivyo varieties hasa Samaki wa maji chumvi kwaTabata naona hakuna,ila kwa Kinondoni kama Sinza,Uhuru Peak,Fyatanga,Toroka uje,Meridian kutaja chache ambapo licha ya Sato,unaweza kula Ugali dona na Kisamvu,Kambale,Tasi,Changu,Kolekole wote hao wakiwa wamechomwa bila mafuta au mchuzi na wameungwa vizuri sana. Kwa Tabata bado kidogo ubunifu. Ila bata iko poa Tabata
 
Back
Top Bottom