Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Bwana misosi...
Tutafute siku (weekend) nikukaribishe shambani kwangu ili tuchinje kama itakuwa mbuzi, kuku kienyeji, bata n.k ili tupike mkuu.Umesema uchachu,nikakuambia labda lingine lakini ili pishi la makange likamilike kati ya viungo,kimoja wapo ni lamau au ndimu mkuu,mimi si shindani.Kama unakumbuka nilisema inawezekana alizidisha ndimu kwenye kipengele cha kuweka ndimu.
Haina tatizo mkuu niko tayari.Tutafute siku (weekend) nikukaribishe shambani kwangu ili tuchinje kama itakuwa mbuzi, kuku kienyeji, bata n.k ili tupike mkuu.
Pamoja sana....Karibu mkuu.Haina tatizo mkuu niko tayari.
mbona ni wazuri tu?,hawana tatizo lolote lileHata kwa dawa siwezi kula bar maid mkuu.
Mimi sio wa level hizo mkuu.
Me nitakata vitunguuTutafute siku (weekend) nikukaribishe shambani kwangu ili tuchinje kama itakuwa mbuzi, kuku kienyeji, bata n.k ili tupike mkuu.
Kwahiyo sampling yako ya 4040 ndio umepata methodology ya Tabata?Nimekua nikisikia kua Tabata ndio kuna bata, basi siku za hivi karbuni nikawa na mambo yangu maeneo hayo.
Pia nikaamua kufanya utafiti usio rasmi kuhusu ubora wa misosi ya hizo bar. Kwa mfano 4040 pub, misosi ya hovyo sana.
Siku ya kwanza niliagiza ugali na makange ya kuku wa kienyeji. Msosi ulipokuja nyama ikawa na ladha chachu, nikauliza kama ni ya jana yake, nikaambiwa hapana ni ya siku hiyo.
Siku ya pili nikaagiza makange ya mbuzi, nikaletewa, nyama ina ladha ya uchachu, nikamuita mhudumu akashindwa kunipa majibu, nikaita mpishi akasema nyama haina tatizo labda tatizo liko kwenye nyanya, maana wanatumia nyanya za kopo.
Baada ya kuniambia kua wanatumia nyanya za kopo hata ham ya kula ikaniishia, nikalipa nikaendelea na mambo yangu. Binafsi hapa Bongo siwezi kula vitu vya kopo, bado tuna vitu fresh vingi sana. Nyanya fresh zinaoza Buguruni au Kariakoo sokoni alafu mtu unapikia nyanya za kopo?
Binafsi nikahitimisha kua Bar za Tabata kwa ubora wa misosi bado sana, bado hawajafikia misosi tunayokula Bar za mwenge au Kinondoni.
Kwa upande mwingine hata yale mambo yetu, watoto ni wa kawaida sana. Mimi nikienda bar naangalia misosi na totozi mara moja moja tu maana sinyi pombe na sijawahi kunywa na sina mpango wa kunywa.
Acha kututisha! 🙄🙄🙄ma barmaid wengi wameungua mkuu..endelea kuwapitia ovyo tu utajajuta
Mkuu, wk end hii utakuwepo nije nikupe ofa? Napapendaga sana pale. Ndio kiwanja changu kikubwa pande hizo...Kaka njoo bar moja tegeta inaitwa KB BAR OPPOSITE NA KIBO COMPLEX utaenjoo watoto, msosi na mziki mzito ukiongzwa na DJ chikawe. Karibu sana tukitoka hapo nakupeleka sehemu moja inaitwa Fyatanga maeneo ya boko ukale mbuzi choma hatari .
sijakushikia bastola mkuuAcha kututisha! 🙄🙄🙄
Jumamosi nipo mkuu we njoo tupunguze stress za maisha kakaMkuu, wk end hii utakuwepo nije nikupe ofa? Napapendaga sana pale. Ndio kiwanja changu kikubwa pande hizo...
Kupika chakula chako mwenyewe ni gharama kubwa kuliko kula mgahawani au Bar.MTU MZIMA BADALA AOE APIKIWE ANAZUNGUKA KWENYE MABAA KUTAFUTA CHAKULA.KAMA KUOA KAZI SI UPIKE KWAKO AU UTAFUTE MDADA WA KAZI.
NA KAMA UMEOA BASI NI WALE WABABA WANAOKULA MCHEMSHO BAR HUKU KWAKE WAMESHINDIA UJI
Basi tu mkuu, wapo wazuri kweli ila sijawahi kupata ham ya kula Bar maid mkuu.mbona ni wazuri tu?,hawana tatizo lolote lile
Mahala gani hapo mkuu nisije kujikuta siku moja nimeokota hela nikaenda kumbe misosi hovyo!Uchachu ulipitiliza ama kukera ni wanapoweka vinegar.... Mtoa mada yupo sahihi,limau ni kiunganishi cha kawaida kabisa na kikitumika vizuri wala hakiwezi kukera.... Niliwahi kula makange ya kuku wa kienyeji sehemu flan tena ya hadhi yalikuwa machachu kupitiliza mpk meno yanauma, nikagundua wameweka vinegar, nikagombana na mpishi coz vinegar mara nyingi huwekwa kwenye fresh veggies na sio kupikia kwa wingi hivyo.....wengine wanatumia kuku na nyama zilizolala kupikia makange wanajaza viungo ili watu wasistukie.... Shame on them.
N.B Mimi ni mpishi mzuri ila mara moja moja nakula bar au hotel so staki povu
Ahsante mkuu kwa kunidokeza. Mgahawa huo uko sehemu gani Tabata? Ni ule uko njiani pale maeneo ya Bima?Kwahiyo sampling yako ya 4040 ndio umepata methodology ya Tabata?
Ok si kila mtu anaingia kwenye mabar, ukiwa Tabata siku na unataka kula ingia mgahawa wa Wallet na chakula unaagiza unapikiwa unasubili dakika 15, kula pale halafu rudi hapa uje kuharisha tena hizi pumba zako.