Baa za siku hizi yani ni burudani kabisa maana kila huduma inapatikana

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
405
565
Habari za hapa wakuu.....,,

Baa za siku hizi zinakila kitu kurahisisha maisha ya mnywaji

Kuna parking, kuna wahudumu wazuri, kuna kila chakula cha asbuhi, mchana na jioni, kuna waosha magari, kuna tigopesa na Mpesa, kuna kinyozi na hata saluni kama umekuja na mpenzi anahitaji kutengeneza nywele, kuna sehemu za kuchaji simu, choo na hata bafu, kwingine kuna vyumba hapo hapo.

Yani kumekosekana tu padri au mchungaji wasoma misa na mashine ya kufua nguo basi, lasivyo ungemwona mumeo nyumbani siku ya pasaka kufufuka kwa Yesu.
 
Tanzania ya VIWONDER

Habari za hapa wakuu.....,,

Baa za siku hizi zinakila kitu kurahisisha maisha ya mnywaji. Kuna parking, kuna wahudumu wazuri, kuna kila chakula cha asbuhi, mchana na jioni, kuna waosha magari, kuna tigopesa na Mpesa, kuna kinyozi na hata saluni kama umekuja na mpenzi anahitaji kutengeneza nywele, kuna sehemu za kuchaji simu, choo na hata bafu, kwingine kuna vyumba hapo hapo.

Yani kumekosekana tu padri au mchungaji wasoma misa na mashine ya kufua nguo basi, lasivyo ungemwona mumeo nyumbani siku ya pasaka kufufuka kwa Yesu.
 
MAENDELEO HAYANA CHAMA
MAENDELEO HAYANA CHAMA
MAENDELEO HAYANA MIPAKA
MAENDELEO HAYANA TAARIFA
TUPO UCHUMI WA KATI
SUBIRI ZIJENGWE FLY OVER SGR STRIGALAG NA MADENGE KA YOTE
 
Mtu wa club na Bar wapi na wapi! Mazingira mawili tofauti kabisa.

Hahahahhahaha, miaka kadhaa iliyopita kuna jamaa mmoja alinitokea akawa anataka sana nimpe walau nafasi tuongee, siku ya siku nikamwambia ukitoka kazini leo tuonane, niambie nije wapi mradi tuu isiwe nyumbani kwako.

Akaniambia njoo maeneo ya Morocco, kufika eneo la tukio ni bar.... Nilikaa nusu saa tuu nikamwambia samahani tumbo la hedhi limenianza siwezi kuendelea kukaa hapa na huwa linauma mnoo kadri Muda unavyoenda.
Nilimdanganya niondoke sababu sikupenda kukaa pale, na tangu siku hiyo sijaonana nae tena.

Sijui kwa nini ila bar hapaninogi hata, hata kama wanapiga mziki.

Kasinde.
 
Mie huwa naenda kama kuna supu nzuri au nyama ya kuchoma na pilipili ya haja na nikimaliza tu huyooooo. Ila kuna sehemu zangu napenda naweza kukata hata saa nane au zaidi na roho yangu nyeupeeee lakini si Bar labda niwe na friends tumeamua kwenda huko. Uzuri pia close friends na wao kama mie Bar si mahala pao.

Kwa hiyo mkuu unapendelea kukaa sehem ipi ambayo ni mbadala ya bar?
 
Wapi unapapenda tuende

Back
Top Bottom