WanaJamii kuna yeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi na kwa wanaoelewa kuwa huwezi ukawa na national security kama huna food security..nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watuambie nini hasa kinaendelea na kabla hatujaenda mbali je kuna mtu anajua:
1. Je limeundwa lini?
2. Linajumuisha akina nani?
3. na wajumbe wake wanapatikana vipi?
4. Confirmation zao zimefanywa na nani lini?
5. Je Zanzibar wham au hawamo na wanawakilishwa na nani?
6. Je inabidi wawe na qualifications zipi?
7. wanakutana mara ngapi kwa wiki/mwezi?
8. mwenyekiti wao ni nani?
9. Katibu wao ni nani?
10. Wanaripoti kwa nani?
11. je washatoa maamuzi yepi mazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?
12. je repot zao (gongo la moot, pirates, melt kuzama zanzibar, tetemeko la ardhi kagera, hali ya chakula nchini, hali ya uchumi etc) ziko wapi? website zipi?
13. je website yao ni ipi? mara ya mwisho imekuwa updated lini?