D DonM Member Jul 20, 2012 5 0 Jul 20, 2012 #1 Jamani kuna hiyo faculty tajwa hapo juu inatolewa UDSM for 3yrs...inaweza kuwa marketable kweli au?
MFYU JF-Expert Member Jun 28, 2012 505 68 Jul 20, 2012 #2 ...BA LAW enforcment...dah,ipo poa bt hawaipi promo ya kutosha.! Ila 4m6 leaverz wanakuaga wachache tofaut na wale wanaotoka makazini[polisi,jeshy na uhamiaji]....so usshangae upo 1 clas na mtu makam ya mshua wako au maza!
...BA LAW enforcment...dah,ipo poa bt hawaipi promo ya kutosha.! Ila 4m6 leaverz wanakuaga wachache tofaut na wale wanaotoka makazini[polisi,jeshy na uhamiaji]....so usshangae upo 1 clas na mtu makam ya mshua wako au maza!