BA.of Arts in law enforcement inaweza kufanya kazi sehemu gani?Nipeni mawazo yenu wadau...

DonM

Member
Jul 20, 2012
5
0
Jamani kuna hiyo faculty tajwa hapo juu inatolewa UDSM for 3yrs...inaweza kuwa marketable kweli au?
 
...BA LAW enforcment...dah,ipo poa bt hawaipi promo ya kutosha.! Ila 4m6 leaverz wanakuaga wachache tofaut na wale wanaotoka makazini[polisi,jeshy na uhamiaji]....so usshangae upo 1 clas na mtu makam ya mshua wako au maza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom