alex255 Senior Member Joined Jun 5, 2017 Posts 119 Reaction score 48 Oct 7, 2017 #1 Habar wana JF, . napenda kufaham kwa kina kuhusu course itolewayo UDSM ambayo ni BA in law enforcement. Pia ina utofaut gani haswa na B of law. nawasilisha wadau wenye uelewa kwa hilo
Habar wana JF, . napenda kufaham kwa kina kuhusu course itolewayo UDSM ambayo ni BA in law enforcement. Pia ina utofaut gani haswa na B of law. nawasilisha wadau wenye uelewa kwa hilo