Ba Bye Bachelor's Life

Mpaka kifo kiwatenganishe ndio utajua maamuzi yako ni sahihi au la!
 
Mi nimeona uvivu kumalizia kusoma kwa sababu ya kutotumia "H"
Yaani et ua badala ya huwa
 
Mchanganuo mzuri sana ila jiulize kwanini tunasemaga huyu ni sahihi na yule sie..?
Sahihi haimaanishi perfect bali ni yule ambaye anakufaa kuwa mwenzi wako wa ndoa,yule atakayeweza kuziba ulipopungua na wewe kuziba alipopungua yeye bila masharti yoyote...

Unaposema perfect unakuwa unamaanisha ni mtu ambaye ni malaika labda kitu ambacho siyo sahihi kabisa na mtazamo huu ndiyo unawaumiza sana wanaoingia ndoani kwasababu wanakwenda kukutana na kitu tofauti kabisa na kuanza kupoteza muelekeo...

Ndiyo maana miezi mitano ya kwanza mtu ananenepa lakini baada ya hapo anakongoroka sana kwasababu ile miezi 6 ya mwanzo kila mmoja atajitahidi kujionesha ni malaika kwa mwenzake na baada ya hapo wote wanachoka wanaanza kuonekana haswa namna walivyo...

Wewe chunguza tu utaona watu wananenepa muda huo kwa kufurahia kitendo hicho lakini baada ya hapo waangalie....
 
You! Have a good point of view but not Law!
 
Ngoja ni save ID yko kwa ajili ya reference utakapoanza vilio apa na kuomba ushauri mara mke wangu ivi mara vile
 
Huyu wa kwangu anafanya mambo makubwa yote, lakini kwenye mambo madogo ni issue. Mazuri yake; gharama za nyumba, gari, hata ticket za holiday ananunua lakini naweza sahau kulipia umeme mpaka dakika ya mwisho anakupigia simu ni kuwa hakuna hata wa kupikia, mama yake haishi mbali, anaweza kuamka asubuhi hana hata mkate na maziwa ndani anakwenda kunywa chai kwa mama, sasa ninajiuliza huyu ni mwanaume au mvulana?
 
Ata kama siko kwenye ndoa nafahamu moja au mawili kuhusu ndoa kutoka kwenye mafundisho na maongezi na wazee... Ningependa kushare nawe machache!

1. Usiruhusu penzi lenu lipoa ata sekunde moja!!! Hakikisha kila siku unamuona mkeo kama ndo mara ya kwanza mnaanza uhusiano wenu. Mambo mliokua mnafanya kwenye uchumba kama kutoka out, kumnunulia vizawadi n.k usiache kufanya...

2. Usiinue mkono wako kumpiga mkeo. Mmeshakua mwili mmoja, ni chizi tu ndo anajipiga mwenyewe.

3. Kama unavutiwa na wanawake wavaa vimini (na vinginevyo) usianze kujitesa kugeuza shingo barabarani, mnunulie mkeo vimini avae ili roho yako iridhike...

4. Wanawake tunabadilika hisia kulingana na kipindi... Sio kua tunapenda ila ndivyo tulivyoumbwa!!! Msome mkeo na udili nae kulingana na mood yake!!!

5. Mambo ya ndani kwenu yaishie ndani kwenu!!! Ndugu na marafiki hawahusiki katika ndoa yenu! Hifadhi madhaifu ya mkeo na muwe pamoja kuyabadilisha.

Asante!!!
 
Ndivyo binadamu tulivyo,tumia madhaifu haya kumopenda zaidi na utaona maajabu yake....

Penda kile ambacho wewe unakiona hasi halafu utaona....
 
Msaidie atambue jukumu lake
 
Nimependa ya 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…