Shaaban Haufi Member Joined Apr 18, 2014 Posts 75 Reaction score 10 Sep 28, 2016 #1 msaada kwa yeyote anaye jua lolote kuhusu program iyo apo pale mzumbe chuo kikuu
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,193 Reaction score 859 Sep 28, 2016 #2 IOO POA KINYAMA HIYO KOZI
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,341 Sep 28, 2016 #4 Shaaban Haufi said: msaada kwa yeyote anaye jua lolote kuhusu program iyo apo pale mzumbe chuo kikuu Click to expand... Mimi siijui-lakini unaweza kudownload prospectus ya mzumbe ukaanza kuangalia www.mzumbe.ac.tz halafu ukiangalia kule chini utakuta "our prospectus" bofya hapo.
Shaaban Haufi said: msaada kwa yeyote anaye jua lolote kuhusu program iyo apo pale mzumbe chuo kikuu Click to expand... Mimi siijui-lakini unaweza kudownload prospectus ya mzumbe ukaanza kuangalia www.mzumbe.ac.tz halafu ukiangalia kule chini utakuta "our prospectus" bofya hapo.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 Sep 28, 2016 #5 Unataka msaada gani? kukuorodheshea kozi zake au kukuambia ubora wake? ? By then imeanza mwaka jana na wanasoma mathematics na ict.
Unataka msaada gani? kukuorodheshea kozi zake au kukuambia ubora wake? ? By then imeanza mwaka jana na wanasoma mathematics na ict.