B.a sociology

B.a sociology

makarang

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
9
Reaction score
1
habari wapendwa, mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu, nachukua sociology, mwezi wa sita mwaka huu nitakuwa namaliza chuo, hivyo nigeoenda baada ya hapo nipate kibalua cha kujishughulisha nacho, hivyo kwa kuanza naomba kazi ya volunteer, (kujitolea) kutoka taasisi yoyote iwe ya serikali au binafsi, inayaendana na taaluma yangu. kwa yeyote mwenye uwezo naomab msaada wake hata ushauri pia unatosha.
 
Back
Top Bottom