Azua tafrani uwanja wa ndege baada ya kutaka kusafiri akiwa uchi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
1478091612688.jpg
Mwanaume mmoja amezua taharuki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kamuzi katika mji mkuu wa Malawi Lilongwe baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amevalia nguo ya ndani (Chupi pekee) akitaka kusafiri

Picha mbalimbali zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha mwanaume huyo akiwa amesimama kwenye mstari kwa ajili ya ukaguzi na nyingine akihojiwa na maafisa wa usalama katika uwanja huo
1478092333775.jpg
Watu wamedai kuwa ni raia kutoka Africa Kusini na alifika uwanjani hapo akitaka kurudi Africa Kusini

Wengine walisema kuwa ni muogeleaji ambapo wakati mwingine hufanya hivyo (Kutembea au kusafiri na nguo za kuogelea) ili kuchangisha fedha za kusaidia watu wenye matatizo hasa watoto
 
Mm naona kwa sababu uwanja wa ndege huwa wanakagua sana kwahiyo yeye aliamua kuvua nguo kabisa ili kuwarahisishia kazi polisi wasihangaike sana kumkagau.
 
View attachment 428260Mwanaume mmoja amezua taharuki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kamuzi katika mji mkuu wa Malawi Lilongwe baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amevalia nguo ya ndani (Chupi pekee) akitaka kusafiri

Picha mbalimbali zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha mwanaume huyo akiwa amesimama kwenye mstari kwa ajili ya ukaguzi na nyingine akihojiwa na maafisa wa usalama katika uwanja huo
View attachment 428263Watu wamedai kuwa ni raia kutoka Africa Kusini na alifika uwanjani hapo akitaka kurudi Africa Kusini

Wengine walisema kuwa ni muogeleaji ambapo wakati mwingine hufanya hivyo (Kutembea au kusafiri na nguo za kuogelea) ili kuchangisha fedha za kusaidia watu wenye matatizo hasa watoto
kumbe si watanzania tu ni vichaa wanadamu wengi sana wehu
 
Back
Top Bottom