Hili ni muhimu kuzingatia huo ushauri pia. Kwanza, Tunachofanya ni wizi wa copyright, kwa hiyo hatuweze kuwa sawa na ile ya makaburu. Pili, stability ya kiasi inategemea sana direction ya satellite mnayochukulia. Pamoja na kuwa S.sport sio stable sana kwenye G6, mjaribu kuangalizia mechi za Epl kwenye channel nyingine laka Mbc, Canal+ n.k ambazo ni stable kidogo. Kwa local channels G6 iko vema sana. Sijajaribu hiyo ya Al Jazeera, ila nina mpango wa kuongeza dish, nitatoa updates.Ndugu km unataka kula kama mwenye haki jisajili multichoice..kuwa mvulivu tu sie tulishazoea toka enzi za HAWK 7777 ndo maana kalaki na30 tuwazia kufanyie mambo mengne!!
Mkuu mimi sina nia ya kupotosha au kuharibu biashara ya mtu yeyote , bali nmetoa angalizo kwa kutumia experience yangu ndogo ili wengine waliokuwa na matazamio kama yangu wafanye maamuzi sahihi. Kuhusu installation ya Dstv na bundle zao sio muhimu kujadili apa coz bei zao ziko wazi. Kweli kama ww ni mpenzi wa free to air chanel G6 inafanya vizur sana bt kama ni mpenzi wa mpira sio cha kutegemea hata kidogoMkuu, acha kupotosha, inaonekana wewe experience yako katika kutumia hivi vi2 bado ni ndogo. Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa tunaotumia hii huduma tunaiba tu ili nasi tuwe na angalau ya access ya DS nyumbani hivyo hatuwezi kuwa sawa na wale wanaokula kwa halali. Wengine sisi ni wapenzi wa free to air tv na hii receiver inatupa thamani ya receiver ya Mpeg 4 PLUS pay tvs. Hapo tu DS anasubiri kwa maana DS hauwezi kuitumia kupata free tvs zilizo nje wa muelekeo wa DS. Pia Premium packages ambayo yunaipata hapa DS inauzwa 135,000 wewe unasema bei ya receiver ni bora ununue DS? Ina maana hata bei ya installation ya DS huijui achilia mbali bei ya mwezi. Binafsi mara ya kwanza niliona nimepoteza lengo kwa kununua hii kitu, lakini nilichogundua kua ki2 kikubwa kinachotuangaisha ni stability ya net zetu. Mfano eneo ninaloishi mitandao yote inaspeed ya hatari isipokua Zantel hivyo akili yangu ilikua inanituma nitumie hiyo mitandao ku unlock pay tvs lakini sikupata matokeo mazuri, siku moja nikajaribu hii ambayo ndio slowest ndio imeniletea matokeo mazuri na hata kukatakata inachukua muda sana. Wengine wanasema kinakata kama startimes bahati mbaya mimi ninayo startimes ambayo inakatakata hiyo nimeshindwa kabisa kuitumia lakini hii ngoma ni masaa 24 maana mama yeye ni Magic swahili, Madogo cn na mimi mwenyewe ni ss mwanzo mwisho. Ni kweli napenda kuwe na marekebisho ili isikate kabisa tuzidi kuinjoy lakini sio kusema hamna kitu kabisa kwamba watu wamepoteza - fedha zao laaaa. Mkuu kuwepo nyumbani kwa sisi wapenzi wa mpira na kuchagua game unalolitaka sio jambo dogo, au kuangalia free tvs kutoka kila upande plus ds na Aj sio jambo dogo oh!
Mkuu kuna mtu humu JF aliniuzia G2 haikuchukua hata mwezi ikakata mazima!alijitangaza weeee na mbwembwe nyiingi,(na ni maarufu sana humu JF kwenye ulimwengu wa Electronics) baada ya kununua na kukata namuuliza tatizo ni nin hajibu,kuanzia PM hajibu, Text Sms hajibu even my calls. Kwa kweli nimemnyamazia na kutomwanika just kulinda heshima yake,bt kama atasoma hapa (najua atajifahamu) afahamu alichofanya sio ustaarabu hata kidogo!
Kwa hivo kuanzia hapo wala sichangaamkii hivi vitu,kwa wanao amin na kuhangaika navo siwalaumu,bt mie nimeingia cost ya almost 600,000 (as nilinunua viwili) bt for nothing!kwa mnaotaka kujaribu good luck but kwa atakayependa ushaur wangu,then kuwa makini..!
kama ni g2 angalia account inawezekana imeexpire maana account za g2 zote ziliisha september 2 kama ni hivyo nenda ui update kwa shilling 19000 tu kwa wahusika
pili.
mbona bei kakupiga sana 600000 kwa mbili mbona ungepata 4 au tatu hapo?
Mkuu wap naweza update?mie kilichonikera ni kuwa nimemtumia PM kuulizia tatizo nin had havionyesh,Tena PM zaid ya moja kakaa kimyaa!text sms hajibu pia mpaka call hajibu!nilimpa laki 4 kwa viwil,plus madish laki na ishirini madish mawil inakuwa laki na aroboaini!(Hapo nilisahau arisat decoder nilizonunua kwa 80,000 each, so mara mbili laki na sitini)halafu kitu kinaonyesha siku mbili tatu kisha kimyaa!imagine!

kuna jamaa anaitwa munjy1 ana huduma za uhakika ye hata ukipiga simu saa 9 usiku akiisikia atakugea huduma.....hebu tafuta uzi wake mpigie simu akutatulie tatzo lako usizitupe hzo g2 kabsa...kuna jamaa namjua kafungiwa na fundi na alimpiga kweli kweli sasa akaharibu antenna heeeh si akakisusa na matusi kibao jamaa angu kakibeba karekebisha antena leo aakula injiMkuu wap naweza update?mie kilichonikera ni kuwa nimemtumia PM kuulizia tatizo nin had havionyesh,Tena PM zaid ya moja kakaa kimyaa!text sms hajibu pia mpaka call hajibu!nilimpa laki 4 kwa viwil,plus madish laki na ishirini madish mawil inakuwa laki na aroboaini!(Hapo nilisahau arisat decoder nilizonunua kwa 80,000 each, so mara mbili laki na sitini)halafu kitu kinaonyesha siku mbili tatu kisha kimyaa!imagine!
Mkuu, acha kupotosha, inaonekana wewe experience yako katika kutumia hivi vi2 bado ni ndogo. Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa tunaotumia hii huduma tunaiba tu ili nasi tuwe na angalau ya access ya DS nyumbani hivyo hatuwezi kuwa sawa na wale wanaokula kwa halali. Wengine sisi ni wapenzi wa free to air tv na hii receiver inatupa thamani ya receiver ya Mpeg 4 PLUS pay tvs. Hapo tu DS anasubiri kwa maana DS hauwezi kuitumia kupata free tvs zilizo nje wa muelekeo wa DS. Pia Premium packages ambayo yunaipata hapa DS inauzwa 135,000 wewe unasema bei ya receiver ni bora ununue DS? Ina maana hata bei ya installation ya DS huijui achilia mbali bei ya mwezi. Binafsi mara ya kwanza niliona nimepoteza lengo kwa kununua hii kitu, lakini nilichogundua kua ki2 kikubwa kinachotuangaisha ni stability ya net zetu. Mfano eneo ninaloishi mitandao yote inaspeed ya hatari isipokua Zantel hivyo akili yangu ilikua inanituma nitumie hiyo mitandao ku unlock pay tvs lakini sikupata matokeo mazuri, siku moja nikajaribu hii ambayo ndio slowest ndio imeniletea matokeo mazuri na hata kukatakata inachukua muda sana. Wengine wanasema kinakata kama startimes bahati mbaya mimi ninayo startimes ambayo inakatakata hiyo nimeshindwa kabisa kuitumia lakini hii ngoma ni masaa 24 maana mama yeye ni Magic swahili, Madogo cn na mimi mwenyewe ni ss mwanzo mwisho. Ni kweli napenda kuwe na marekebisho ili isikate kabisa tuzidi kuinjoy lakini sio kusema hamna kitu kabisa kwamba watu wamepoteza - fedha zao laaaa. Mkuu kuwepo nyumbani kwa sisi wapenzi wa mpira na kuchagua game unalolitaka sio jambo dogo, au kuangalia free tvs kutoka kila upande plus ds na Aj sio jambo dogo oh!

mkuu msaidie kwanza akitumie ili aone uchungu na utamu wake ili baafaye aumue kunyoa au kusukaleta nikutafutie wateja maana people nyomi zinataka G2
Mkuu natambua mwizi hawezi kula sawa na mwenye mali lakini sasa isiwe too much bana, kumbuka we pay for this kwa kutegemea angalau kupata kaunafuu na si karaha