farooq2013
Member
- Aug 11, 2013
- 98
- 16
kwa wale wanotumia dongle za AZSKY G1, G1+ au A+ account zine expire rasmi leo mchana kwaio ukuiona yako haifanyi kazi jiandae kununua account mpya.... nitakujulisheni zitauzwa kiasi gani ni jinsi ya ku upload upya