Mwimbaji maarufu wa Mchiriku..Ndio nani huko daslamu
Aaaaa kumbe🤔 kongole kwake.Msanii maarufu wa Mchiriku..
Naunga mkono hojaHuwezi fika na kupewa dk zote 90. Ikitokea hivyo jua kikosi cha hiyo timu hakikuwa na wachezaji. Lazima upewe dakika chachechache kwanza ili uzoee na kuingia kwenye mfumo
Alexnda Anorld madrd jobe dotmund mwalim wydad wote hao wanapata zakutosha kwan wao wamejiunga lin na tim zaoHuwezi fika na kupewa dk zote 90. Ikitokea hivyo jua kikosi cha hiyo timu hakikuwa na wachezaji. Lazima upewe dakika chachechache kwanza ili uzoee na kuingia kwenye mfumo
Funguka mkuu unaogopa niniMimi sio mtabiri ila naona huko mbele kuna mtu atakuja kukomenti NOO RIFOMU NOO ELEKSHENI
Ni ubashiri tu mkuuFunguka mkuu unaogopa nini
Mwimbaji maarufu wa Mchiriku..
Kwenye nini?Kati ya Gwajima na Samia nani zaidi?
Kwenye ulingo wa siasa.Kwenye nini?
Apambane asitegemee kubebwa. Hata alipokuja Yanga hakupata namba moja kwa moja, bali juhudi ilizaa matunda.Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha
Wydad hawathamini kabisa uwezo wa Aziz Ki, amekua akianzia benchi zaidi na kupewa dakika chache mno kama mchezaji wa kawaida kabisa, hii ni dharau kubwa sana na kwa alipokuwa amefikia Aziz Ki ni kumpoteza kwenye ramani ya soka
Kwenye michezo ya klabu bingwa dunia katika mechi 3 za Wydad amecheza dakika 11 tu, 7 dhidi ya Manchester City na 4 dhidi ya Juventus huku mechi dhidi ya Al Ain akiachwa kabisa
Hii imekua ni tabia ya kawaida timu za Uarabuni Afrika Kaskazini kuwachukua wachezaji wazuri na kuwamalizia benchi, hata Mayele pale Pyramids ilibaki kidogo akimbie maana walikua wanamueka benchi wanampa dakika nyingi mzawa ambaye hakuwa na uwezo wa Mayele
Inasikitisha sana aisee 😭