chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna.
Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa
Sasa Aziz Ki jipange, maana na wewe una kausha damu lako ambalo ulifanyiwa udalali na Haji. Usije kutulilia hapa.
. N. B:
Haji alijenga kibanda hata chumba na sebule?Fame is gone