Azimio langu mwaka 2019.

Azimio langu mwaka 2019.

Puli sio dhambi kiongoz,ila utaharib uwezo wako wa kufanya mambo badae
Mmhhh aisee kama sio dhambi nibora pull aisee kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo nafsi inakuambia kabisa ulipo sio sahihi navilevile mda huo huo unafanya zinaa yaani bado unapata dhambi nabado mwisho wasiku huyo uliyenaye utataka umuache ataumia atakutupia malawama Kibao. Hayo madhara nitakayoyapata mbeleni nitayakabiri nakama JF ikiwa bado ipo Hai nitarudi kuomba maushauri
 
Ushaur wangu ni huu,..mwanadam kukaa bila sex,especialy mwanaume ni ngum sana labda kama una matatzo..ukiacha sex utapiga puli..ambayo ina madhara

Tafta madem hata wawil au wa3 ,usijiweke,we kula maisha,..usisahau kinga all time

Utanenepa na stress ztaisha...ukitulia akil utajiona tu unameet na mwenza wako wa maisha bla stress
 
Duh hapo kwenye kutumia Kinga ndio kubaya labda nijifunze ila kiukweli ishajaribu kutumia Kinga ila sikuona kama nafurahia mapenzi kiu inabaki palepale yaani sijawahi kufika mshindo kwakuvaa kondom au labda kwakuwa nilinunua hzi Zabei poa
 
Sawa
Mmhhh aisee kama sio dhambi nibora pull aisee kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo nafsi inakuambia kabisa ulipo sio sahihi navilevile mda huo huo unafanya zinaa yaani bado unapata dhambi nabado mwisho wasiku huyo uliyenaye utataka umuache ataumia atakutupia malawama Kibao. Hayo madhara nitakayoyapata mbeleni nitayakabiri nakama JF ikiwa bado ipo Hai nitarudi kuomba maushauri
 
Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
ni ngumu sana...kikawaida ukikaa mwaka mzima bila sex unakuwa chizi hasa kwa mwanamke
 
Unapenda utam eeh.bas wee endelea hvo hvo,ila utapotea dunian haraka..tunaotumia kinga sio wajinga na sio kwamba hatupend utam
Duh hapo kwenye kutumia Kinga ndio kubaya labda nijifunze ila kiukweli ishajaribu kutumia Kinga ila sikuona kama nafurahia mapenzi kiu inabaki palepale yaani sijawahi kufika mshindo kwakuvaa kondom au labda kwakuwa nilinunua hzi Zabei poa
 
Nipo kwenye mahusiano yakimapenzi ambayo hayana afya nakila nikitaka kulifyekelea mbali hili penzi nyege hunibana najikuta nimelifufua tena. Maisha yakununua malaya sijawahi kuyapitia nahata puchu sijawahi kupiga toka nimezaliwa, nandiomana napata wakati mgumu kuvunja penzi hili lakifala nawakati huo huo nakuwa sina mahala pakumalizia nyege zangu.

Nimejitahidi kuishi bila kufanya zinaa nimeshindwa kabisa aisee nakama kuna kidume mwenzangu humu aliweza kuishi bila kufanya zinaa mpaka akaja kuoa anaweza kuniambia alitumia mbinu gani ili namimi niishi bila zinaa maana zinaa nizambi, nakama ikishindikana basi naomba watu waimani mniambie je kupiga punyeto nizambi? Nakama sio zambi basi namimi nianze kupiga punyeto mpaka hapo nitakapo pata mwenzangu wamaisha, navilevile wazoefu wapunyeto mnifundishe nyeto gani ninzuri nanisalama kwaafya yangu.
Lengo layote hayo nikuwa najiona sijapata wakufanana namimi, najua kuwa binadamu hatujakamilika ila angalau afikie vigezo vyangu hata kwaasilimia 75%.

NB: nipo serious kabisa jamani, maana siwezi kuwa naomba Mungu mke wakufanana namimi wakati nafanya zinaa namwanamke mwingine ambaye kiuhalisia amegoma kubadilika nakuwa kama vile mimi nitakavyo nakama punyeto sio zambi basi mniambie ili nianze kumalizia haja zangu huko huku namuomba Mungu kilicho chema.

Kama demu wako anachura niunganishe naye...nitahakikisha unanifumania naye ili muachane..ndiyo njia rahisi
 
Mchomeo wangu mdogo kwahiyo sijawahi kuwa nadem mwenye chura
 
Naomba usijaribu kupiga puchu ndugu yangu.......mana ukianza utajikuta unaipiga hata pale utakapokua kwnye ndoa yako......afu kuachana na mtu sio mpka upate mwingine au kipoozeo flan.......kama mahusiano yako ni mabovu.........yamalize tu,,,,,achana na huyo demu then maisha mengine yaendelee....jikeep busy na maswala mengine ya kutafuta pesa na mishe mbalimbali.

Atakuja wa kufanana nae,,,,,,muda na wakati usio ujua
 
Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako

Uko sahihi kwenye kukontol mind, kusali na mazoezi sana, in short awe busy, ila wewe ni mwanamke na yeye ni mwanaume kunaweza kuwa na tofauti. Mwaka mzima sio kazi nyepesi, especially kama ulishazoea kujilia kitu fulani and you are not busy
 
Ugumu uko kote tu Bila kujali jinsia unafikiri mwanamke ndo hapati ashk ujue tena zetu huja kwa wingi mno Ila ni kuji control mind yako nakuwa busy ndo solution.

Ni story ndefu mkuu, na mchana wote huu, acha tufanye yenye kujenga kwanza, lakini ukweli Me na Ke kwenye hizo issue, Me wanasafa zaidi kuliko Ke. Hizo zenu unazosema zinakuja kwa wingi mno ni kweli lakini ni katika kipindi kifupi tu na baada ya hapo ukiweza kukivuka pasipo kukutana na mwanaume ndio imetoka huenda hadi mwezi mwingine kipindi kama hicho. Ila kwa Me, waliowengi ni kinyume chake.
 
Kila binadamu aliye kamili Bila kujali jinsia nyegezi hazikwep sema nyie tu hujitaftia justification za kufanya. Na ukiamua waweza tu kufanya hovyo hovyo

Ila hapo penye red sijui, unaweza sema hayo lakini haibadilishi ukweli, kwa mwanaume hicho ulichoita nyegezi naamini ni zaidi, so sio kwamba tunatafuta justification za kufanya. Na ndio maana huwa kuna malalamiko mengi sana hata humu juu ya excuse nyinyi za kutofanya mapenzi kwa upande wa Ke jambo ambalo kwa kiwango kikubwa kimezalisha na kuhalalisha michepuko kibao.
 
Back
Top Bottom