Azimio langu mwaka 2019.

Azimio langu mwaka 2019.

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,856
Reaction score
6,442
Nipo kwenye mahusiano yakimapenzi ambayo hayana afya nakila nikitaka kulifyekelea mbali hili penzi nyege hunibana najikuta nimelifufua tena. Maisha yakununua malaya sijawahi kuyapitia nahata puchu sijawahi kupiga toka nimezaliwa, nandiomana napata wakati mgumu kuvunja penzi hili lakifala nawakati huo huo nakuwa sina mahala pakumalizia nyege zangu.

Nimejitahidi kuishi bila kufanya zinaa nimeshindwa kabisa aisee nakama kuna kidume mwenzangu humu aliweza kuishi bila kufanya zinaa mpaka akaja kuoa anaweza kuniambia alitumia mbinu gani ili namimi niishi bila zinaa maana zinaa nizambi, nakama ikishindikana basi naomba watu waimani mniambie je kupiga punyeto nizambi? Nakama sio zambi basi namimi nianze kupiga punyeto mpaka hapo nitakapo pata mwenzangu wamaisha, navilevile wazoefu wapunyeto mnifundishe nyeto gani ninzuri nanisalama kwaafya yangu.
Lengo layote hayo nikuwa najiona sijapata wakufanana namimi, najua kuwa binadamu hatujakamilika ila angalau afikie vigezo vyangu hata kwaasilimia 75%.

NB: nipo serious kabisa jamani, maana siwezi kuwa naomba Mungu mke wakufanana namimi wakati nafanya zinaa namwanamke mwingine ambaye kiuhalisia amegoma kubadilika nakuwa kama vile mimi nitakavyo nakama punyeto sio zambi basi mniambie ili nianze kumalizia haja zangu huko huku namuomba Mungu kilicho chema.
 
Azimia kumrudia mungu kwanza
Ndio lengo langu ila namrudiaje Mungu haliyakuwa nafanya zinaa? Maana kiukweli kabisa najiona siwezi kuacha zinaa nikikaa wiki bila zinaa nakuwa wenge sana hata nikishika kitu mikono inatetemeka
 
Haupo peke ako Mkuu, yani mtu upo kwenye mahusiano lakn unaona hayaeleweki eleweki, unaazimia kumpiga chini lakini baada ya siku mbili unanitafuta tena,
Unaweza uwe na mpenzi lakn kila mara ujihic upo peke ako.
Labda Mkuu twambie huyo bidada tatizo ni nini hasa?
 
Mkorofi sana, anapenda kuzira, muongomuongo yaani perepete nyingi
 
Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
 
Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
Nikweli eti, ngoja nijaribu tena ila nilijaribu kufanya hivyo ila nilijihisi kuchizi aisee yaani natamani sana niishi angalau mwaka mmoja bila zinaa yaani hata kichwani nisiwaze kabisa hata miaka miwili hivi
 
Inawezekana kabisa kabla ya Kujua huo mchezo mbona uli survive vzuri tu. Toa hayo mawazo kichwani ingekuwa ngono ukikosa unakufa ka chakula ningekushauri, bora punyeto

Ndio nakumbuka ni jinsi unavoweka akili yako hzi ngono za hovyo hutuletea negative energy ambayo kwa kiswahili tunaita ngundu
Kwakweli aisee basi tu yaani unakuwa unaishi ovyoovyo2 ukikaa ukijichunguza faida uioni zaidi yamigogoro
 
Kwakweli aisee basi tu yaani unakuwa unaishi ovyoovyo2 ukikaa ukijichunguza faida uioni zaidi yamigogoro
Ni hatari mno ngono zembe Hu attract negative energy kiasi kwamba ukija taka kutulia unashindwa.unahangaika wee faida huoni
 
Inawezekana kabisa kabla ya Kujua huo mchezo mbona uli survive vzuri tu. Toa hayo mawazo kichwani ingekuwa ngono ukikosa unakufa ka chakula ningekushauri, bora punyeto
Cariha hivi punyeto siinaweza nisaidia endapo kama nikishindwa kuacha zinaa maana ndio naona kwasasa nibora kuliko kuwa kwenye mahusiano yasiyo nakichwa wala miguu
 
Bora hyo mara Mia kuliko kujitaftia magundu kwa k tofauti tofauti aisee
Cariha hivi punyeto siinaweza nisaidia endapo kama nikishindwa kuacha zinaa maana ndio naona kwasasa nibora kuliko kuwa kwenye mahusiano yasiyo nakichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom