Ubarikiwe sanaaa
Mmhhh aisee kama sio dhambi nibora pull aisee kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo nafsi inakuambia kabisa ulipo sio sahihi navilevile mda huo huo unafanya zinaa yaani bado unapata dhambi nabado mwisho wasiku huyo uliyenaye utataka umuache ataumia atakutupia malawama Kibao. Hayo madhara nitakayoyapata mbeleni nitayakabiri nakama JF ikiwa bado ipo Hai nitarudi kuomba maushauriPuli sio dhambi kiongoz,ila utaharib uwezo wako wa kufanya mambo badae
Duh hapo kwenye kutumia Kinga ndio kubaya labda nijifunze ila kiukweli ishajaribu kutumia Kinga ila sikuona kama nafurahia mapenzi kiu inabaki palepale yaani sijawahi kufika mshindo kwakuvaa kondom au labda kwakuwa nilinunua hzi Zabei poaUshaur wangu ni huu,..mwanadam kukaa bila sex,especialy mwanaume ni ngum sana labda kama una matatzo..ukiacha sex utapiga puli..ambayo ina madhara
Tafta madem hata wawil au wa3 ,usijiweke,we kula maisha,..usisahau kinga all time
Utanenepa na stress ztaisha...ukitulia akil utajiona tu unameet na mwenza wako wa maisha bla stress
Mmhhh aisee kama sio dhambi nibora pull aisee kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo nafsi inakuambia kabisa ulipo sio sahihi navilevile mda huo huo unafanya zinaa yaani bado unapata dhambi nabado mwisho wasiku huyo uliyenaye utataka umuache ataumia atakutupia malawama Kibao. Hayo madhara nitakayoyapata mbeleni nitayakabiri nakama JF ikiwa bado ipo Hai nitarudi kuomba maushauri
ni ngumu sana...kikawaida ukikaa mwaka mzima bila sex unakuwa chizi hasa kwa mwanamkeUnaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
Duh hapo kwenye kutumia Kinga ndio kubaya labda nijifunze ila kiukweli ishajaribu kutumia Kinga ila sikuona kama nafurahia mapenzi kiu inabaki palepale yaani sijawahi kufika mshindo kwakuvaa kondom au labda kwakuwa nilinunua hzi Zabei poa
Nipo kwenye mahusiano yakimapenzi ambayo hayana afya nakila nikitaka kulifyekelea mbali hili penzi nyege hunibana najikuta nimelifufua tena. Maisha yakununua malaya sijawahi kuyapitia nahata puchu sijawahi kupiga toka nimezaliwa, nandiomana napata wakati mgumu kuvunja penzi hili lakifala nawakati huo huo nakuwa sina mahala pakumalizia nyege zangu.
Nimejitahidi kuishi bila kufanya zinaa nimeshindwa kabisa aisee nakama kuna kidume mwenzangu humu aliweza kuishi bila kufanya zinaa mpaka akaja kuoa anaweza kuniambia alitumia mbinu gani ili namimi niishi bila zinaa maana zinaa nizambi, nakama ikishindikana basi naomba watu waimani mniambie je kupiga punyeto nizambi? Nakama sio zambi basi namimi nianze kupiga punyeto mpaka hapo nitakapo pata mwenzangu wamaisha, navilevile wazoefu wapunyeto mnifundishe nyeto gani ninzuri nanisalama kwaafya yangu.
Lengo layote hayo nikuwa najiona sijapata wakufanana namimi, najua kuwa binadamu hatujakamilika ila angalau afikie vigezo vyangu hata kwaasilimia 75%.
NB: nipo serious kabisa jamani, maana siwezi kuwa naomba Mungu mke wakufanana namimi wakati nafanya zinaa namwanamke mwingine ambaye kiuhalisia amegoma kubadilika nakuwa kama vile mimi nitakavyo nakama punyeto sio zambi basi mniambie ili nianze kumalizia haja zangu huko huku namuomba Mungu kilicho chema.
Unaweza ukidhamiria moyoni kabisa, pia zidisha kusali na kufanya mazoezi. Mimi nikiamua hukaa hata mwaka ni ku control tu mind yako
Uko sahihi kwenye kukontol mind, kusali na mazoezi sana, in short awe busy, ila wewe ni mwanamke na yeye ni mwanaume kunaweza kuwa na tofauti. Mwaka mzima sio kazi nyepesi, especially kama ulishazoea kujilia kitu fulani and you are not busy
ni ngumu sana...kikawaida ukikaa mwaka mzima bila sex unakuwa chizi hasa kwa mwanamke
Kumbe unasura mbaya hivyo
Najua na najikubali mkuu.Kumbe unasura mbaya hivyo
Ugumu uko kote tu Bila kujali jinsia unafikiri mwanamke ndo hapati ashk ujue tena zetu huja kwa wingi mno Ila ni kuji control mind yako nakuwa busy ndo solution.
Ni story ndefu mkuu, na mchana wote huu, acha tufanye yenye kujenga kwanza, lakini ukweli Me na Ke kwenye hizo issue, Me wanasafa zaidi kuliko Ke. Hizo zenu unazosema zinakuja kwa wingi mno ni kweli lakini ni katika kipindi kifupi tu na baada ya hapo ukiweza kukivuka pasipo kukutana na mwanaume ndio imetoka huenda hadi mwezi mwingine kipindi kama hicho. Ila kwa Me, waliowengi ni kinyume chake.
Kila binadamu aliye kamili Bila kujali jinsia nyegezi hazikwep sema nyie tu hujitaftia justification za kufanya. Na ukiamua waweza tu kufanya hovyo hovyo