Azimio la Morogoro tarehe 13/02/2011 - Boma Road

abuuzahraa

Member
Aug 13, 2009
24
9
  1. waislamu tunaunga mkono matamko yote yaliotanguliwa
  2. tunalaani njama za kuwagawa na kuwaziba midomo waislamu kudai haki zao.
  3. maaskofu waache kuingilia msuala ya waislamu kama wanataka amani.
  4. tunalaani mauaji ya mwembechai na serekali iunde tume ya uchunguzi.
  5. tunaunga mkono mchakato wa katiba mpya ili uondoe dhulma iliyopo.
  6. tunaitaka raisi aunde bunge jingine la katiba kwani bunge lililopo limejaa wakristo waislamu hawatapata haki katika mchakato wa katiba mpya.
  7. kutokana na mtokeo mabaya kidato cha nne, raisi avunje baraza la mitihani kwani limejaa mfumo kristo unaobeba shule za seminari.
  8. tunawatahadharisha waislamu na wenye vyombo vya habari kuwa wanaudhalilisha uislamu wakome.
  9. serekali irudishe sheria inayopiga marufuku uuzaji wa nguruwe maeneo yenye waislamu.
  10. mali zote za waislamu zilizotaifishwa na serekali zirudishwe
  11. tunaitaka serekali sensa ya 2011 kuweka kipengele cha dini ili tufamu idadi kamili ya waumini wa dini zote na tuache kukisia.
 
Katika maazimio ya huko nyuma ambayo azimio la sasa linatamka kuyaunga mkono kuna azimio linalotaka nchi itengwe ili waislamu wapewe eneo lao; naona hilo ndilo linaweza kuwa suruhu ya matatizo yao, hivyo ni vema wakalivalia njuga suala hilo. Vinginevyo wanachosema ni kweli, mfumo wa mambo mengi hapa nchini ni wa kimagharibi, na mfumo wa kimagharibi umejikita katika ustaarabu wa kikiristo.
 
Wale wale tumeshawazoea na matamko yasiyo na tija. Mnatoa matamko mpaka mnasahau mnadai nini. Nenden shule acheni kulala masjidi kupoteza muda.
 
Chokochoko zipo ukingoni Leo tumesema Na iwe basi na kweli we mean Enough, Tuwe tumesoma au tunashinda misikitini Saa itakapo fika ndio Kitajulikana...
 
Wale wale tumeshawazoea na matamko yasiyo na tija. Mnatoa matamko mpaka mnasahau mnadai nini. Nenden shule acheni kulala masjidi kupoteza muda.

Acha chuki dogo..

Masjid hatuachi na matamko hatuachi..watch your words umesoma hadi wapi wewe??

Hujaelimika
 
ushauri wa bure kwa ndugu zangu waislamu, badilini viongozi wenu, hawa ndio wanaowadhalilisha.
 
Haya ni matamko ya kujihami ambayo kimsingi husababishwa na Kutojiamini, incompetency, kupenda na kuzoea favour!!!
 
  1. waislamu tunaunga mkono matamko yote yaliotanguliwa
  2. tunalaani njama za kuwagawa na kuwaziba midomo waislamu kudai haki zao.
  3. maaskofu waache kuingilia msuala ya waislamu kama wanataka amani.
  4. tunalaani mauaji ya mwembechai na serekali iunde tume ya uchunguzi.
  5. tunaunga mkono mchakato wa katiba mpya ili uondoe dhulma iliyopo.
  6. tunaitaka raisi aunde bunge jingine la katiba kwani bunge lililopo limejaa wakristo waislamu hawatapata haki katika mchakato wa katiba mpya.
  7. kutokana na mtokeo mabaya kidato cha nne, raisi avunje baraza la mitihani kwani limejaa mfumo kristo unaobeba shule za seminari.
  8. tunawatahadharisha waislamu na wenye vyombo vya habari kuwa wanaudhalilisha uislamu wakome.
  9. serekali irudishe sheria inayopiga marufuku uuzaji wa nguruwe maeneo yenye waislamu.
  10. mali zote za waislamu zilizotaifishwa na serekali zirudishwe
  11. tunaitaka serekali sensa ya 2011 kuweka kipengele cha dini ili tufamu idadi kamili ya waumini wa dini zote na tuache kukisia.

Ndo maana kuna mtu mmoja jana aliposikia kuna maandamano ya waislamu akasema hakuna la maana huko. Na kweli hakuna la maana. Haya maazimio yote yamejaa infirioty na udini tu. Mnapotaka sensa itoe na idadi ya kila dini mnataka nini jamani? Mnasema shule za sekondari za seminari za wakristo zinapendelewa nafikiri mnatakiwa kuchunguza ili mjue jinsi hawa watu wanavyochuja wanafunzi wao, hakika hamtalalamika. Na mkumbuke kuwa katika shule hizo pia kuna watoto wa waislamu wanaojua umuhimu wa elimu. Mnalalamika kuwa wabunge wengi ni wakristo kwani kuna mtu kawateua? Si wamechaguliwa na wananchi? Mbona hamlalamiki kuwa rais na makamu wa rais ni waislamu?
 
Wale wale tumeshawazoea na matamko yasiyo na tija. Mnatoa matamko mpaka mnasahau mnadai nini. Nenden shule acheni kulala masjidi kupoteza muda.

Mhh labda mmesahau nyinyi kuhusu kile kinachodaiwa katika matamko yanayoendelea. Ila kwa sisi msiwe na shaka kuwa tumesahau tunachokidai. Msije kubaki mdomo wazi tu, mkasema wale mliowaita wajinga wasiokuwa na elimu .....Nyinyi fanyeni kila namna ya kejeli na hila. Haishangazi kuwa hizi kejeli zinatoka kwa wale ambao wako tayari kufanya lolote litakalowezekana ili kupata the maximum from this life, hata ikibidi kudhulumu. Yote kwasababu hamna mnachotarajia katika life after death.
Kila siku tunawashuhudia mnavyopindisha na kubadili sheria zenu wenyewe, yote ili kupata maximum comfort in this life halafu second ndiyo kumtii na kumuabudu yule mnaemuamini kuwa kawapatia hizo sheria/miongozo. Mashaka matupu! Ndiyo mnajiona werevu ....
 
Sijaona point yoyote hapa uliyotoa kijana. Swala na usawa katika nyanja zote hilo halipo kwasababu hapa tunataka maendeleo ya nchi na hatujihusishi katika maendeleo ya dini moja moja maana serikali kazi yake ni kuongoza watu wake kwenda katika maendeleo ya kidunia zaidi, na taasisi za dini zinawaongoza waumini wake katika maendeleo ya kiimani zaidi. Kwahiyo tuuache uwanja waserikali uwe wakila mtu na wala usitake kuuweka uwe umeelemea katika dini fulani. Kingine serikali kwakuwa ni ya watu wote hivyo usiweke swala laudini katika kushika nyadhifa mbalimbali maana utakuwa umekosea chamuhimu uwe niuwanja wakushindana kiuwezo na vigezo kuingia pale. Au mnataka muwe na viti maalum kama vilivyo kwa wanawake bungeni? Hiyo nakataa kwasababu sote tunauwezo sawa na uwezo nikuamua kuupata kwa kusoma na kutafuta mbinu kufikia malengo yako. Ningeshauri badala yakupiga domo hapa sikuzote kumtetea mtoto anaezaliwa leo ili kukuta nafasi yake kwenye serikali sababu ya udini mfanye mtoto wako awe nimbunifu na msomi ili kuja kuendeleza familia yake pamoja na taifa kwa ujumla. Kitu kingine ambacho umenifanya nishangae ni kwamba shule za kikristo kupendelewa ni ajabu sana kusikia kwako kama mtu nikuaminie ama ni wivu unakusumbua au ni hasira na dini hii, nimekosa jibu. Kiufupi nenda kawaulize waislam ambao waliweza kusoma shule hizi uwacheki misimamo yao maendeleo yao na mtazamo wao wa shule za seminary kuhusu kupendelewa watakucheka na utakosa support. Usiweke kigezo cha dini KUWA ndiyo nguzo ya mafanikiyo yako utakufa masikini na utapoteza wengi na mwisho baada ya kupoteza uhai wako wa mwili roho yako itakwenda kuungua sana sababu yakupotosha wengi. Jipange njia nyeupeee ya maendeleo kama unayataka, kuwa mbunifu nausome kwamaendeleo yako kama wajanja wenzio wanaosonga mbele kuliko majungu. Nawakilisha see u next month
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom