Mkuu kwani hakuna MAJEMBE ya kike, mfano Malkia wa Nyuki ni JEMBE letu pale Msimbazi.Hii misemo tunagalie na mahali pa kuitumia, nesi anamwambia mama mzazi "hongera kwa kuzaa JEMBE (mtoto wa kiume)" mzazi akazimia hapo hapo kisa kuambiwa amezaa JEMBE
Mkuu kwani hakuna MAJEMBE ya kike, mfano Malkia wa Nyuki ni JEMBE letu pale Msimbazi.