Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,791
- 32,638
Ebwana wanaJF Mzuka!
Azerbaijan ndio taifa pekee la Kiislam rafiki na Israel. Na sasa hivi wanapata msaada mkubwa kutoka Marekan na Israel. Hii imezifanya nch nying za Kiislam kuichukia hususan Iran. Azerbaijan na Iran Ni majiran na Israel imeamua kumsogelea karib muajem.
Nch nyingine ya kiislam iliyowahi kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na Israel ni Mauritania lakin uhusiano huo uliisha baada ya rais wa kipind hicho kupinduliwa