Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
acha uongo wewe,azam haina udini,kwanza hivi wewe huoni watangaji wa azam,wenye majina kikisto ni wengi,viongozi wakuu wa azam wakristo wapo,acha kusingizia vitu
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
wakristo susieni bidhaa zake
 
Redio maria huwezi skia mambo ya ramadhani kila moja abebe msalaba wake
Wee haujui hata kufananisha, Redio Maria ni mali ya kanisa kwa ajili ua kanisa na haulipii kuisikiliza, Azam si mali ya msikiti ni biashara ya kulipia na haihusiani na msikiti wa dini, pia unapolipia unatarajia kukipata ulichoahidiwa na si cha kidini au chama fulani cha kisiasa, hivyo linapotokea jambo kinyume na mkataba ambao ni malipo unahaki kulalamika, tatizo ni pale TCRA inaposhindwa kusimamia maudhui.
 
Azam sio ya kidini, lakini pia niyamtu binafsi humpangii aonyeshe nini, jambo lamsingi akionyesha usichopenda unasusia tu, mbona Clouds Radio na nduguye Wasafi wanapendelea CCM badala yakuonyesha usawa nakwavyama vingine?.

Kwani Azam anapewa Ruzuku naserikali?.
Sahihi
 
Kweli kila nikifungua ni suala la futari mara kufunga ..
Hadi najiuliza jamaa wanafunga kwa kupania kufuturu?
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Binafsi sijawahi kuona mfanyakazi wa Bakhressa akawa mkristo, mdini sana yule mzee japo namkubali, alafu serikali inaona na inakaa kimya.
 
"Kabla ya kulalamika utuambie una elimu gani? Na una miliki nini? Una dhahabu? " vijana someni hakuna shortcut ya maisha

Kwa sauti ya chenge
 
Binafsi sijawahi kuona mfanyakazi wa Bakhressa akawa mkristo, mdini sana yule mzee japo namkubali, alafu serikali inaona na inakaa kimya.
Fuatilia vizuri. Waajiriwa Wakristo wamejaa tele kwenye makampuni ya Bakhressa group. SSB angekuwa mdini sidhani kama angefika kiwango alichofika.
 
Majibu ya kina Khadija Kopa haya! Na kama mtu hapendi wakristo ahamie Saudi Arabia au Afghanistan, hii ni nchi ya watu wa dini zote na wasio na dini. Azam iliomba kutoa huduma kwa watz wote lazma iache ubaguzi ndiyo sheria za nchi.
WEwe ndio mbaguzi na kinachowasumbua ni chuki tu kisa mwenyewe ni muislamu hakuna kingine, bora mungu abaki hivyo hivyo asionekane maana kuna watu walalamishi mngemsumbua kila siku kwa mambo ya kijinga
 
Umemjibu kisomi sana haelewi Redio maria haipo kibiashara lakin Azam tv ipo kibiashara
Unasusia biashara yake, au susieni mbona Radio zauma tunazolipia Kodi zetu kulipa mishahara ya wafanyakazi na uendeshaji wake, nazo zinabagua vyama?. Sembuse Mali binafsi ya mtu?. Eti Leo umpangie Bakharesa aonyeshe nini?. Acha kununua kifurushi .
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Mkuu inaonesha hujui maana ya uchumi huria, Kuna vingamuzi vingi nchini hujalazimishwa kutumia Azam, kanunue cha Agape au Ting au star times
 
Unasusia biashara yake, au susieni mbona Radio zauma tunazolipia Kodi zetu kulipa mishahara ya wafanyakazi na uendeshaji wake, nazo zinabagua vyama?. Sembuse Mali binafsi ya mtu?. Eti Leo umpangie Bakharesa aonyeshe nini?. Acha kununua kifurushi .
Hayo mambo hayapo Dstv azam tv ndo mdudu gani nisije pofuka macho bure et soka live uku goli likisikika redioni kwenye tv kama sekunde 30 hivi ndo na wenyewe goli linaingia
 
Back
Top Bottom