RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Kama sio mkristo nikweli hupati.Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two
Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.
Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio mkristo. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.