Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo WanaJF.
Naombeni Ushauri. Nimekuwa mteja addicted wa EasyTV tokea 2009. Lakini kwa sasa kutokana kuwa wamenyang'anywa kurusha Channel kama ITV/EATV/StarTV, Ninataka kuhamia Azam Tv kwa sasa lakini bado nnafikiria kuiacha MBC-Action & Emmanuel TV.
Je AzamTV hawana Mpango wa kuweka channel za Dini kama hii ya Emmanuel yenye wafuasi wengi Duniani na nyingine hata ya kiislam ili kubalance!?
Kama Management wataisoma hii thread nawaomba wafikirie Mara 5 ili hizi channel za MBC zote wawenazo pamoja na Channel mbili za Dini mostly ikiwa ni Emmanuel TV na Nyingine ya Kiislamu.
Kusema kweli AzamTV wameanza na Gia Nzuri sana. And I'm sure wengine wataenda kuangukia Pua.
Asante.