Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Takataka kabisaNili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
Nili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
Nina app ya bila malipo ya kila mwezi yenye chanel azam sport HD na azam sport 2, azam one, utv na azam two, tbc, startv, zbc2, wasafi, chanel za mpira ya ulaya yote kianzia epl, laliga, sirea, bundasiliga, movie, catoon, news nk nakutumia kwa sh elf5 ni zaidi ya channel 80
Pia nina huduma ya Kukuunga na chanel za Dstv kweny simu yako za zaidi ya channel 120 hakuna malipo ya kila mwezi unalipa elf10 tu unakuwa umemaliza, nina kuunga ww kweny account yangu hivo nakutumia email na password unalog in na kuanza kura raha mwanzo mwisho.. Niko tayari kutoa maelezo hapa hapa nasio lazima uje inbox maana mimi sio taper ushahidi ni huu uzi
Mshikaji alie develop hii app guru_observer katoa bure wewe unauza acha hizoChanel za app ya ya elf5 hizi hapaView attachment 1361779
Mbona hii ina mwenyewe alafu unajitetea eti sio tapeli.Chanel za app ya ya elf5 hizi hapaView attachment 1361779
Application ya FREE IPTV ni bure, huyo Wiwachu anachofanya si kitu chema hapa jukwaani mimi guru_observer ndio nimeidevelop na kuiweka hapa jukwaani bure kwenye uzi huu Leo jioni naleta hapa free app ya Azam na StarTimes kaeni tayari UMEPEWA BURE TOA BUREMshikaji alie develop hii app guru_observer katoa bure wewe unauza acha hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Application ya FREE IPTV ni bure, huyo Wiwachu anachofanya si kitu chema hapa jukwaani mimi guru_observer ndio nimeidevelop na kuiweka hapa jukwaani bure kwenye uzi huu Leo jioni naleta hapa free app ya Azam na StarTimes kaeni tayari UMEPEWA BURE TOA BURE
ndioMkuu unatengeneza App?
ndio
hapana, sitengenezi for business.Namaanisha nikulipe unitengenezee can you do it?
hapana, sitengenezi for business.
ni app ya aina gani, nione nani naweza kukuunganisha nayeSawa mkuu, vipi una referral anayejua kutengeneza vizuri