Nimekuwa nikikutana na vitu viwili toka kampuni ya Azam ambavyo ni AzamPay na AzamPesa kupitia mitandao na mifumo ya kidijitali, ningependa kufahamu ni nini, na shughuli yake kubwa ni ipi.
Last time naangalia ilikuwa tu ni wallet kwa ajili ya kulipia bidhaa zao, ila nime Google naona wanataka ku expand nje ya hapo na kucompete na Tigopesa/mpesa

Yes! Hii safi sana katikia kufikia hatua kama taifa kujitegemea kiteknolojia na kidijitali. Naona kupitia hayo maelezo huduma itakuwa inatanuliwa kadri muda na watumiaji wanavyosogea.
-
Nisiwe muongo natumia bidhaa nyingi za Azam katika kusapoti kile anachokifanya.
Jee application development na core architecture za hii service ziko bongo? Corporate Tax zao wanalipia bongo, au ni offshore company fulani hivi?
Jee huyu CEO, Firas Ahmad, ni mbongo?