Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Magoli ya John Boko "Adebayor" na ndugu wawili Kipre Herman Tchetche na Kipre Michael Bolou yameipa Azam ushindi wa 3-0 dhidi ya team ya JKT Ruvu na kushikilia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara katika mechi iliyopigwa leo uwanja wa Taifa kuanzia saa 1 jioni.
Hongereni wana rambaramba.
Hongereni wana rambaramba.