Azam yajitoa udhamini wa pombe!!?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu ya AZAM kwa kukataa kushiriki katika mashindano yanayodhaminiwa na TUSKER-2009.Umeonyesha imani thabiti katika dini yako si kuwa mnafiki kama MATAJIRI AU WANASIASA WENGINE.Pia BAKWATA wametangaza au kupiga marufuku kwa binti wa kiislamu kushiriki mashindano ya u miss tanzania.
 
Watajua wenyewe na sheria zao bana hakuna kinachopungua hapo! Lete serengeti baridi moja hapa sbl!
 
Back
Top Bottom