Kwani kuna kifungu gani cha sheria kinachosema mechi zianze saa kumi??Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa...
Hivi kwanin wengine wasihamishiwe Jumatano? Mbona Hata Ijumaa na Jumatatu wengine wanacheza? Why Not Jumatano?Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa...
Hawana hela. DSTV waliwahi taka kuonyesha Ligi ya Tanzania zamani Sana around 2011 au 2012 lakini walikuwa wanatoa hela ndogo Sana. Azam wanatoa hela zaidi. Hao Startimes ni kampuni mbovu isiyojielewaM napenda dstv au startimes wachukue tenda ya kuonyesha.
Hao uliowataja hawafanyi Production yaani kurekodi, wao wanarusha tuM napenda dstv au startimes wachukue tenda ya kuonyesha.
Mfano ungekua wewe ungepanga vp ratiba?Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa.
Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza channel nyingine au kufanya mabadikiko ya vipindi vyake ili kuonyesha mechi hizo lakini cha ajabu katika kikao cha TFF na Azam Media waliwaruhusu azam kupanga ratiba mechi zianze saa 8 badala ya saa 10 kama hapo awali.
Jambo hilo likipingwa na timu pamoja na wachezaji kutokana na hali ya hewa maeneo mengi kuna jua kali na joto kali linalowaathiri wachezaji ,pia si muda rafiki kwa mashabiki kuingia uwanjani wengi wao bado wapo makazini lakini TFF walishupaza shingo na kuruhusu maamuzi hayo.
Soka la Bongo.
Umemjibu vzr. Arsenal game ya kwanza EPL kaanza na FULHAM ugenini na ilipigwa Mchana wa saa 8.Kwani kuna kifungu gani cha sheria kinachosema mechi zianze saa kumi??
wapi uliona dunian ww Ratiba ya ligi inapangwa tu bila mwenye haki ya kutangaza mechi hizo kuhusika?
huangaliag hata ligi za wenzio? hujiulizi ni kwann mechi zinaanza saa nane hadi saa nne usiku? unadhani walishindwa ziweka zote kwa pamoja??
DsTV walishindwa dau!M napenda dstv au startimes wachukue tenda ya kuonyesha.
Vya kujiulizaBaada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa.
Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza channel nyingine au kufanya mabadikiko ya vipindi vyake ili kuonyesha mechi hizo lakini cha ajabu katika kikao cha TFF na Azam Media waliwaruhusu azam kupanga ratiba mechi zianze saa 8 badala ya saa 10 kama hapo awali.
Jambo hilo likipingwa na timu pamoja na wachezaji kutokana na hali ya hewa maeneo mengi kuna jua kali na joto kali linalowaathiri wachezaji ,pia si muda rafiki kwa mashabiki kuingia uwanjani wengi wao bado wapo makazini lakini TFF walishupaza shingo na kuruhusu maamuzi hayo.
Soka la Bongo.
Ahahahahahaaa Taison mlikiwa mnamsubiri hadi saa 11 alfajiri nyie wa TandahimbaAzam na Mbeya City jana imeepigwa saa 8 kwa saa za Mbeya japo sisi wa Tandahimba ilikuwa saa 5 Asubuhi wakati wa Chai
Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa.
Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza channel nyingine au kufanya mabadikiko ya vipindi vyake ili kuonyesha mechi hizo lakini cha ajabu katika kikao cha TFF na Azam Media waliwaruhusu azam kupanga ratiba mechi zianze saa 8 badala ya saa 10 kama hapo awali.
Jambo hilo likipingwa na timu pamoja na wachezaji kutokana na hali ya hewa maeneo mengi kuna jua kali na joto kali linalowaathiri wachezaji ,pia si muda rafiki kwa mashabiki kuingia uwanjani wengi wao bado wapo makazini lakini TFF walishupaza shingo na kuruhusu maamuzi hayo.
Soka la Bongo.
Hilinsuala la mechi saa nane mchana kwa kweli naona wamebugi men!