Azam vs yanga updates

Vipi matokeo ya Ndanda dhidi ya mbeya city timu itakayoungana na simba mwaka huu kushuka daraja!!!!
 
Huyu shabiki wa kulia lia Steve kumbe alishahamia azam.
 
Kipindi cha pili kitaanza muda si mrefu
 
Oscar Joshua kaingia na Edward Charles kaenda benchi. Kipindi cha pili sasa.
 
Tatizo la Oscar Joshua ni hili, akiwa anapiga pasi haangalii anapopeleka yeye kichwa chini tu.
 
Azam wanapata adhabu jirani na lango la yanga lakini wanapoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…