Azam vs yanga updates

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,879
Azam mtatoka jamani mbona mnaenda kupokea aibu Leo
Wana azam mmejipanga??kunyonya koni
 
​azam kujivunia kutokiwepo jaja
 
Tickets ni shilingi ngapi leo? Zinapatikana wapi?
 
Azam ni mteja kwa Yanga. Wanaioneaga SSC ila kwa Yanga huwa wanachezea, mi ni SSC.
 
Azam akitaka afute uteja asimpange Aggrey Moris, Nyoni, na Sure Boy
 
Ngoma inogile leo! Twasubiri Kwa hamu sana!
 
Azam mtatoka jamani mbona mnaenda kupokea aibu Leo
Wana azam mmejipanga??kunyonya koni

Azam Ni Bwana Harusi Hivyo Leo Anakwenda Kumchukua Mke Wake Yanga Moja Kwa Moja Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…