Azam wameonyesha udhaifu mkubwa, kikosi cha Simba ni cha kuungaunga lkn bado wana maliza dk 90 wakiwa 1-1!!!!, leo mastaa wa Simba akina Boban wamekwaa pipa kuelekea Oman, Kaseja na Ngasa wameelekea Misri na Timu ya Taifa: Zanzibar wamebaki akina nani sasa.