Mimi nilikuwa uwanjani, Azam wana timu nzuri na wamepata nafasi nyingi sana kikwazo kikwazo alikuwa ni Deo Munishi, naweza kusema pia Mtibwa kwa leo hawakuwa na cha kupoteza mchezo wao ulikuwa ni defensive zaidi, wamefanya counter attack wakapata kona goli la kwanza, la pili pia counter attack beki wa Azam kamweka mtu chini faulo ikapigwa goli huku sisi washabiki wa mnyama tukawa tunaruka ruka tu furaha tele.