Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,357
- 85,805
Ama kweli, akutukanae hakuchagulii tusi....Yaani nikiona mwanaume ananyonya hiyo kitu huwa namuangalia kwa macho ya tofauti sana
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Mkuu, naona wewe ndio umeamua kabisa kufanya mambo yawe magumu zaidi.....Kuna mdada alinunua mbele yangu amenyonya mara moja alivyoona namwangalia si akaing'ata
Wadada acheni kufanya mambo kua magumu kwa style hyo siwezi kukuamin ata mara moja unyonye
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu, hii ya kimiminika ilitengenezwa kama m'badala kwa wanaumeNdio maana mkawekewa na juice yake ya chupa
Tayari mlisha fikiriwa na mkatengenezewa juice ya ukwaju mkuu, unakwama wapi...!!??Ukweli hiyo ndio sababu kubwa wanaume kuuogopa ukwaju. Hata akipita mtu akikwambia naona unanyonya mkuu, inachefua, watutengenezee wakwetu umbo la papuchi hata tukinyonya inakuwa sawa tu
Ndio ndioUpo sahihi mkuu, hii ya kimiminika ilitengenezwa kama m'badala kwa wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mkawekewa na juice yake ya chupa
Yaani unamchukulia kama nani ?Yaani nikiona mwanaume ananyonya hiyo kitu huwa namuangalia kwa macho ya tofauti sana
All the good stuff happens outside our comfort zone.