Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Jan 23, 2014 #1 wana JF, nipo kibaha, nina shida na fundi ama mtu yyt anaeweza kufanya set up ya king'amuzi cha azam tv hm kwangu! anipe na gharama yake!
wana JF, nipo kibaha, nina shida na fundi ama mtu yyt anaeweza kufanya set up ya king'amuzi cha azam tv hm kwangu! anipe na gharama yake!
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,168 Reaction score 35,736 Jan 23, 2014 #2 Ingia kwenye website ya Azam tv ili umjue agent aliyekaribu na wewe then nenda kanunue mwenyewe alafu tafuta fundi yeyote wa madish atakufungia.Mimi sasa ni mteja wa AZAM TV.
Ingia kwenye website ya Azam tv ili umjue agent aliyekaribu na wewe then nenda kanunue mwenyewe alafu tafuta fundi yeyote wa madish atakufungia.Mimi sasa ni mteja wa AZAM TV.