Azam TV wananufaika na nini Matangazo ya LIVE kutoka Ikulu?

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
Azam tv kipindi hiki imekuwa ni zaidi ya chombo cha umma. Hata kama Magu anakwenda Hazina lazima Azam wawepo, nananufaika na lipi? na kwanini TBC isifanye kazi hiyo?
 
huyo ndio maana ya media yatakiwa kuwa vile kuwapasha watu kila jambo kwa wakati wake,
baada ya miaka kadhaa utaona tofauti kati ya azam na media nyingine kimapato na kiutazamaji,leo hii wangapi wanatazama star tv au TBC?
 
Back
Top Bottom