Mchawi ni yule bondia wa Mbeya aliyeidai fidia Azam fidia milioni 200 kwa sababu tu ya kutumia jina la VITASA, analosema alilibuni yeye. Baada ya Azam kumlipa, nadhani waliapa kutojihusisha yena na huo mchezo.
Angekuwa muungwana, angepotezea tu ili kuokoa mamia ya mabondia wenzake ambao kwa sasa wanataabika kwa njaa. Au wanemalizana kwa njia ambayo isingeleta hii sintofahamu.