Azam TV tuwekee UEFA

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
Hivi kwanini Azam TV hawarushi UEFA jamani?

Nawaomba jaman azam unganisheni mipango muwe mnatupatia uhondo wa UEFA.
 
sawa ila hawa dstv bei yao ipo juu sana hapa kwetu ni nini kinafanya ivi maana kwao wana kipato kikubwa mara kumi ya vipato vyetu lakini hii ya laki mbili kule hata tsh 80,000 haifiki..
 
Kama kashindwa kufikia mahitaji ya wateja kwanini anajiingiza sokoni, aendelee kuuza sembe na maandazi ndiyo anavyoviweza
Azam hawezi rusha EPL, UEFA maana hana hiyo hela... hii yenyewe kasindwa
 
Mi naomba kujua bei ya king'amuzi cha star times kwa walioko mwanza chenye dish maana nitakuja hapo kununua
 
Ivi bei ya Packages za Dstv kwa Kenya ikoje anayejua maana dstv wanalipa kwa dollars
 
Kwa wale tusio na DSTV kupitia azam tv kuna channel yoyote inayoonesha UEFA?
 
Back
Top Bottom