Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo nchi za kiarabu.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.

Subiri wameshaweka kichwa kinatroti Dunstan Tido Muhando.namuamini kwa ku lobbyAZAM media tunaomba mchukue rights ya kuonyesha ligi ya uingereza, ulaya na champions ligi msimu ujao, najua uthubutu wa kufanya ivo mnao ni suala la mangement kufanyia kazi suala hili ili mpate kuongeza wateja wengi zaidi.
Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo nchi za kiarabu.
Tunaamini mnao uwezo wa kununua hati ya kurusha matangazo ya ligikuu ya england maana hii ndiyo siri ya kiburi chao. Hakika watanzania tutawaunga mkono 100%
Tuondoleeni huyu kaburu mnyonyaji.
Dstv ana "rights" za kurusha matangazo ya mpira hapa,..kwa sasa ni ngumu kwa Azam media kupata hiyo "rights",labda baada ya misimu mingine miwili ya ligi. Pia anahitaji la kukua kwa "customer base" yake,hii itamuhakikishia kurudi kwa alichokiwekeza. Niliwahi kusikia kuwa wanajaribu kuomba kibali cha kurusha EPL kwa lugha ya kiswahili,tuwaombee Mungu huenda wakapata kwa njia hii. All in all wanahitaji support yetu watanzania.
Acha kusema uongo! Jana nimelipia 142,000.