Nenda ulaya uone kama kuna mtu atahangaika kukutafutia mkalimani.Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
huko ulimwenguni kiswahili kikafanye nini!!?darasa maalum la kujifunza lugha ya Kiswahili, kama sehemu ya kuikuza na kuieneza ulimwenguni kote.