Jana nimelipia kifurushi cha azam cha sh 23,000\= na channel zilifunguka vizuri..lakini leo asubuhi inaonesha kadi haiko sawa..nimewapigia kwa namba niliyoitoa kwenye screen wanasema nitoe kadi niifute kwa kitambaa laini lakini wapi...anayejua hii ni nini tupeane msaada tafadhari