Azam Tv mnazingua

Azam Tv mnazingua

We endelea kuhangaika na hao Azam Tv sisi tumelogwa na JamiiForums hatuna muda wa kuangalia hayo makatuni ya Bakhiresa.
 
Pole kwa changamoto iliyo jitokeza. Utapata huduma wiki ijayo
 
piga *150*50*5# kutuma ujumbe wa kuwasha
 
Wana namba ya WhatApp huwa wanajibu kwa wakati ila siikumbuki.

NB:Ukilipia huku kifurushi hakijaisha ukitegemea wataunganisha juu kwa juu huwa wanakata kikiisha cha mwanzo halafu wanajikausha hadi watafutwe.
 
Uswahili kazi sana
 
Mimi mwenyewe nimelipia leo Tzs 28,000/= lakini bado sipatiwi channel aisee bora nirudi zangu dstv hawa jamaa bado sana kwenye customer care simu namba zote busy.
 
Back
Top Bottom