Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 724
Mkuu hamia DSTv uachane na wababaishajiAzam tv mnashindwa kutufikisha kileleni,ni muda wa kuhamia startimes sasa!!
Kwenye king,amuzi chao matangazo yanaendelea kama kawaida ila ukifika muda wa taarifa ya habari ambayo tulizoea kuitazama kila saa mbili usiku wanaomba radhi kuwa taarifa ya habari haitakuwepo kutokana na sababu zilizo nje ya iwezo wao lakini wanatupa option ya kuingalia kupitia application ya Azam TV kwenye simu.Huko kwenye App ndiyo kuna channel yenye kuonesha taarifa ya habari au vp maana mie hili jambo sijalielewa?