The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Ilishatangazwa siku nyingi kwamba Azamtv ni pay tv. Nyie mnaelewa maana ya pay tv?
Kuna mdau hapo juu kasema startimes wanatumia antenna tu. Si kweli. Sasa hivi wana ving'amuzi vinavyotumia dish pia. Yaani wana satellite tv.
AZAM TV is doing relatively well. Wabongo acheni majungu. Halafu inaonekana wengi wenu hamna uelewa wa biashara hii ya tv. Yaani kwa sh 12500 mnataka muone ligi za soka za ulaya. Hii sio charity organization. Wenye experience ya majuu watuambie.
Mimi naifahamu canal+ ya huko majuu. Pesa yake ni ndefu ukitaka kuangalia mpira.
UBC ndani ya AZAM TV pia ..........
ZUKU TV nalipa sh 13,000 na EPL naangalia.
kiukweli niko vry disappointed na AZAM TV,,hakuna jipya yaani najilaumu,,bora ningenunua DSTV
Unafurahisha mkuu....yaani ulikuwa na uwezo wa kumiliki na kulipia DSTV alafu nini kikavuta AZAM TV? Akina AZAM TV tuachie sie wenye pesa za kuungaunga mkuu wangu ...... Huwezi kulinganisha DSTV na AZAM TV hata kidogo ...... wewe lipia DSTV 130,000 kila mwezi mbona uta enjoy sana na EPL zote utakodolea home ....tena ikibidi lipia ile ya 180,000 kwa mwezi ili ufaudu mautamu yote ya TV...........hizi za asante Kikwete tshs 12,500 tuachie akina siye bana ........