Azam Tv kuweni macho

AZAM TV is doing relatively well. Wabongo acheni majungu. Halafu inaonekana wengi wenu hamna uelewa wa biashara hii ya tv. Yaani kwa sh 12500 mnataka muone ligi za soka za ulaya. Hii sio charity organization. Wenye experience ya majuu watuambie.

Mimi naifahamu canal+ ya huko majuu. Pesa yake ni ndefu ukitaka kuangalia mpira.
 
Azam hawana haki ya kuonyesha hizo lig kubwa kwa kua tayari dstv wana mkataba na pia wanahofia wanaweza poteza wateja kama walivyokuja g tv kwa hiyo ds tv wapo makini na hilo but azam bado ni cha kawaida sana kwa ds tv
 

sijaona cha burudan kwa wote kama wanashindwa kutupa match za muhimu? ikiisha salio unapewa wiki tatu za kuangalia channel za kibongo bure kisha wanakata..kwann tulipie local channels?? vingamuz vingine kama startimes hawakati local channels..hawa ni wezi kama wezi wengine nami ntawahama soon..bora dstv
 

mkuu hadi laliga? nalitafuta fasta
 

mkuu wildfish njoo jukwaa la sport kuna thread ya beinspot na superspot uwajuze hii ishu ya beinspot. Utakua umeokoa wengi
 
Wabongo bana ....mbele kuna ving'amuzi hata havioneshi soka lakini wamevuta watu wengi kwa kuwa na channel nzuri za movies na other entertainment ......hivyo tusifikiri kila mtu ni mpenzi wa mpira na ili wauze si lazima waoneshe EPL tu ......wanaweza ku target channel zingine nzuri zisizo za soka na bado wakazoa watu kibao ........nimeona mahali watu wamejaza comments eti wakilaumu kwa Azam tv hawaiweki Star tv .....seriously? ......hivi watu ktk utandawazi huu na kujua vipindi vya channel kubwa ......what the hell ulilie channel mfu na ya kishamba kama ile? Azam tv wanamapungufu mengi lakini tuache kulalamikia issues za ajabu ajabu .....bora hata wanaolilia EPL maana ina mashabiki lukuki kuliko wanaolilia Star tv eti wanakosa "futuhi" .
 
Ukinunua vitovu vitatu na ungo unapata channel nyingi kuliko Azam TV na ni bure,mimi nia Azmu lakini nafikiri kununua dish na vitovu 3 naichane na Azam kabisa kwani sioni cha maana sana wanachorusha,Mfano mimi ni mpenzi sana wa mpria na movie za action,vote hakuna,kuna chanel ya Uganda ina movie za action ndani ya Azam lakini tatizo wnatafsiri ili movie kwa kiganda na kuifanya isiwe na ladha kabisa kuiangalia.Pia Star Tv ya Tanzania uwa ni nzuri tu lakini Azam hawairushi
 

Well said. Then Kama TBC wanaonyesha hamna shida kwani TBC ipo azam tv pia, mbona kama ni movie hata azam tv zipo channel nyingi za movie, mimi nadhani wengi hapa wanapiga kelele lakini sio watumiaji wa hivyo ving'amuzi ndio maana wanafananisha startimes chafu ya antenna na azam tv safi HD ya satellite dish.
 
Kiukweli upande wa burudani Azam mimi hawajanigusa kabisa. Movie ovyo na Mzenji fulani lazima muvi zake zionyeshwe kila siku. Wabaguzi kwenye kuonyesha muvi. Mpira ndo majanga kabisaaa yaani michezo kwangu mimi Azam ni zerooooooooooooo. Nafurahia BBC na Aljezeera basi. Wajipange, bado mapema tuwape muda ila wajipange kweli. La sivyo ata sisi walala hoi tutakula kona. Pia waongo, wameorodhesha FTA chanel kibao ila salio likiisha FTA chanel ni 7 tu. Na baada ya wk 3 wanazima hadi hizo chanel 7 za bure kama haujalipia. Waongo sana.
 

ujaribu kuelewa sio unapinda shingo mpaka inakushupaa,hakuna sehemu umesoma kwamba azam hawaoneshi Tbc ila tunachosema ni kwamba hawa jamaa hawana Tbc2 ambayo walau iko kiburudani zaidi,sasa kama hata Tbc2 yenyewe hawana ni burudani gani wanatupa?ama Tbc2 nayo mikataba yake ni migumu kiasi hicho? kwa wale msiotumia azam alafu mnakuja hapa kuwatetea ni bora msichangie make utaongeleaje jambo usilolijua? kwahyo sie tuna chuki bnafsi siyo?ama mnaona kama tunajipendekeza ama mnataka tuseme azam inaonesha Tbc2 na wakati haimo? kweli itakuweka huru
 
tatizo kubwa la mtanganyika ni kupenda vizuri bila au kwa gharama ndogo,12000 ikupe mpira wa ulaya.movie na chanel kedekede nzuri!?

Wape vidonge vyao hao wapenda dezo bila ya kutoka jasho.

DSTV na Azam TV angalia tafauti ya bei (zaidi ya mara kumi)
 
mkuu hata jamaa zetu nao wako hivyohivyo wanakata a-z
Watu wa tume ya mawasiliano walituaminisha hilo, waje watueleze imekuwaje au utaratibu umebadilika au ni mwendo wa rushwa kama kawaida.!
 
They should see that need, watu tunataka soka hasa Epl waweke vifurushi tutalipa hizo elf 50, 80, 100 tena kwa Tzs kampuni ya kizalendo more than happy kuliko makaburu hawa wanatulipisha kwa$$ kila siku bei mpya. Kuna channel zaidi ya 2 nimeziona Arusha wanaonyesha Epl nadhani ni za Middle East Pls Azama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…