Azam TV kuonyesha champions league live

Azam TV kuonyesha champions league live

mirinda tamu

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
76
Reaction score
27
Azam TV kuanza kuonyesha mechi za robo fainali za UEFA champions league from next month...hayo yamethibitishwa na mchambuzi nguli ws soccer hapa bongo kwenye account yake ya Facebook....kwa speed hii naiona Azam TV ikileta mapinduzi
 
kwa hiyo ulitaka mapinduzi ya tamthilia
nani alikudanganya kuwa watanzania wote ni wapenzi wa soccer!kuna mapinduzi mengi yanatakiwa, well mpira moja wapi lkn pia kuna siasa,kilimo,elimu n.k
 
Ahh hamna kituu hapo rate zao zitazidi kupanda Coz media catch up tz bdo sana wanatumia channel za nje zaidiii kuliko za ndani
 
Waonyeshe na EPL wamalize kazi! Hata wakipandisha Ada ya mwezi hadi 50000 hapo tutawakimbilia!
 
mleta mada hujuw kuwa kuna chanel kwenya azamtv wanaonyesha

1.ligi ya ufaransa
2.ujerumani
3.uholanzi
4.epl
5.uefa ch ligi jana walionesha ya madrid
6.ajentina
7.brasil

sio lazima iwe azam two au one

Nbs,sentanta ,wbs na bukede wanaonesha hizo ligi sema ww tu hujuw.
 
Ngoja nichange change niwatafute azam.!
 
nani alikudanganya kuwa watanzania wote ni wapenzi wa soccer!kuna mapinduzi mengi yanatakiwa, well mpira moja wapi lkn pia kuna siasa,kilimo,elimu n.k

Kauli mbiu ya azam tv ni 'burudani kwa wote', sasa tafakari!
 
nani alikudanganya kuwa watanzania wote ni wapenzi wa soccer!kuna mapinduzi mengi yanatakiwa, well mpira moja wapi lkn pia kuna siasa,kilimo,elimu n.k
Hayo mengine waambie TBC wayapindue
 
Azam TV kuanza kuonyesha mechi za robo fainali za UEFA champions league from next month...hayo yamethibitishwa na mchambuzi nguli ws soccer hapa bongo kwenye account yake ya Facebook....kwa speed hii naiona Azam TV ikileta mapinduzi
Bravo.
 
mleta mada hujuw kuwa kuna chanel kwenya azamtv wanaonyesha

1.ligi ya ufaransa
2.ujerumani
3.uholanzi
4.epl
5.uefa ch ligi jana walionesha ya madrid
6.ajentina
7.brasil

sio lazima iwe azam two au one

Nbs,sentanta ,wbs na bukede wanaonesha hizo ligi sema ww tu hujuw.
Natamani La Liga mie.
 
Back
Top Bottom